David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,

Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,

Unataka gari zuri mwanamke akuone,

Ukajenge kijijini,

Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Nakuunga mkono asilimia mia moja , sisi wanaume tuna tamaa na vishawishi vingi sana na mbwembwe zisizo za msingi, 1. Unataka kuonyesha umwamba ukweni, 2. Mke wako anakufananisha na wenzako waliokuzidi, 3. Ndugu zako wanakupiga mzinga uwasaidie 4. Ndugu za mke wako 5. Marafiki uliosoma nao, uliokua nao 6. Unataka kuweka akiba ya uzeeni na vitega uchumi vya kukutunza upepo ukibadilika . Mwkabisho na wengi lazima nyumba ndogo kadhaaa na kila siku wanazaliwa wazuri kuliko wa mwaka jana na juzi nao unatakiwa uwatunze uwawezeshe kupunguza ulilambiwe hovyo hovyo na kwa dhararu. Ukichanganya vyote hivi ndo maana sishauri kabisa maeneo sensitive ya maamuzi ya hela kuwaweka wananaume
 
Umemwaga point tupu
 
Basi naye ampishe mwanamke kwenye hiyo nafasi
 
Huu ni ukweli wa wazi
 
Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,

Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,

Unataka gari zuri mwanamke akuone,

Ukajenge kijijini,

Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Mbona Kuna wanawake pia wapigaji tu Mzee!!!?
 
Samia mitano tena
 
Kafulila huyu mama asipokupa shavu jua kabisa unalaana
 
Reactions: YAY
Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,

Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,

Unataka gari zuri mwanamke akuone,

Ukajenge kijijini,

Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Siku wezi ni wote tu,

Unakuta mwanamke amekuwa jambazi wa kupitiliza,

Hili la wanawake nadhani liangaliwe kwa Upya.
 
Mbona wewe mwanamke mmoja tu alikushinda hawa wanawake sio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…