David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Hoja yako ni kweli, Wanaume ni upigaji kwenda mbele
 
Nakubaliana na hii kwa 100%
 
Huyu kenge, aliyepigiwa na kuibiwa mke,tangu apewe ulaji na kunenepeana kama kiboko! Ataongea kila upuuzi, ili kulinda ugari wake
 
#Samia mitano tena
 
Nakubaliana
 
Ni kweli kwa kiasi kikubwa
 
Kazi nzuri sana bwana Kafulila
 
Nakubaliana na hii kwa kiasi kikubwa
 
Hii ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…