David Kafulila: Taasisi zinazoongozwa na Wanawake zinapata mafanikio karibu mara 10 zaidi

Huu ni ukweli mchungu
 
Nikweli
 
Hongera sana Mama Samia, tuko na wewe.
 
Mama Samia
 
Nyerere aliwahi kusema tuna maadui watatu

1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini.
 
Kafulila Leo mama karejelea kauli yako
 
Mama mitano tena wanawake wanaweza sanaaa
 
Ningekuwa Rais namshusha cheo namweka mwanamke alafu nasubiri apongeze huyu ni zaidi ya kupe sio chawa tena... hiz agenda za mabeberu ila wao hakuna wanawake kwenye mifumo nitajie Taifa kubwa lenye mfumo jike...
China hawataki hata kusikia
USA Ndio chawa ila wao akaaa
Russia hao ndio kabisa wanawake wakajitafute...
Israel hawa ndio kabisa
Saudia mtumee hawa ndio kabisa hakuna mfumo jike ni madume wanawakekaz kuzaa nakuwapa raha wanaume... hakuna Shekh wakike...

Hao Rwanda kaulize kwa Ghadafi wanataka kutawala nizaidi tawala wanawake kuliko midume ila baadae watalia...
 
Mama mpaka 2035
 
Kama Kuna kijana kwenye hizi siasa za uchawa anafanya vizuri basi ni huyu Muha wa kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…