Dawa ya kumfanya mwanaume akupende na hatimaye akuoe

Sheikh mtume Issa bin Mariam alitoa elimu na kuwaachia akina Paul watufunze sisi waje wake kwamba wake/waume wawe na mke/mume mmoja, hebu pitia kitabu cha 1 Corinthians 7, hapo mwanzo tu.
Weka mstari wa kwenye bible yesu aliposema tuwe na mke mmoja
 
Na ss wanaume ili mwanamke akupende tunaweza fanya hvyo au kuna njia nyngine ya kufanya ili tupendwe,maana kuna mtoto nimempenda ila hanielewi nishampga sound nyingi lakini haeleweki
 
Mercy akipita hapa nimeisha
 
Vipi nikifanya kwa mama Tha100 itakubali mtaalamu...

Nataka nile uteuzi
 
Kuna mtu akiiona hii nmekwishaa
 
hakuna sehemu inaongelea idadi ya wanawake wa kuoa katika hivo vifungu
check context ya kinachoongelewa
Yakobo mwenyewe baba wa taifa takatifu alikuwa nao wanne
Samweli nabii baba yake alikuwa nao wawili
Ibrahim alikuwa nao wawili

Mkuu tunakoelekea itakuwa LIGI.

Hapo juu kuna mwamba umemdai andiko mi nmekupa.
Swali… Nami naomba andiko kutoka kwenye Biblia linalosema waume tuoe wake wa3?

Swali… Kati ya Mungu, Yakobo, Daudi na Ibrahimu ni nani aliye mkuu?

Mkuu… Hivi unajua kuwa hata mvuta BANGI huisifia BANGI kwa7b ina mnufaisha.

Vilevile hata ww kuna upande unauvutia ili ujinufaishe.

Hapo juu andiko lipo wazi, kwamba hapo mwanzo Mungu alimuumba mtu MUME na mtu MKE, hao wawili wakawa mwili mmoja.

Sasa unataka kuniambia Mungu amezidiwa maarifa na hao watu ulio wataja hapo juu ambao walioa wake wengi, kwa kumpa Adamu mke mmoja?
 
Mungu aendelee kuniepusha na mapenzi yakufosi
 
Wewe asikudanganye mtu heshima, uti na kufanya majukumu yako kama mke lazima mume atakupenda2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…