Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

Kuna mwingine yuko hivyo afu katumia gharama kibao nikasema maybe nikishajipigia mipass yangu atakaa sawa

Kazi ilikua ngumu mipass ikapigwa lakin baada yahapo hali hiyo bado ikaendelea
Nimefanya yote hayo lakin yeye kachili tu

Mwisho wasiku nimegundua sipendw nimecheki chimbo lingine tu
 
Mkuu hapo kwenye ukimnya ungeongezea na KUJIPENDA mwenyewe hakika sasa hivi ungeitwa baba kijacho ili asikupoteze.

Hawa wapuuzi ukijifanya upo available, mara unaumia mara unampenda, kumsahihisha na kumjali sana utajikuta una nyonyoka hadi nywele..


Nb. Sisi wenzako sasa hivi tuna KAA KIMNYA, TUNAJIPENDA WENYEWE WALA HATUWATAFUTI NA IKITOKEA KATUFUMA TUNAJIBU "SAWA" KWENYE KILA KITU ALAFU TUNAKULA BUYU
 
Ndio madhara ya kudeti na teenagers. Tafta mshembembee uishi vizuri bila usumbufu. Mbunye ni online 24/7 on a single tap of your fingers!
 
Kumbe na wewe unateswa na mapenzi
 
Eeeeh huo muda mbona sinaaa nakaa kmya pia nkijiskia nakucheki tofaut na hapo ni mute tuu kila mmoja
 
Aisee mahusiano yanachangamoto nyingi sana, hii ya kutotafutwa ni kidogo muno. Niseme tu kama ilikusaidia wew inatosha ILA SIO NJIA YAKUAMINIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MAPENZI MPKA UTOE MAELEKEZO YA SISI WAJOMBA TUZITUMIE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…