Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

Mimi nakushauri uwe una nyoa tu dada yangu au nywele yako unaitia wave au kali kitiki au curry cream zile sijui unapendeza fresh tu pole
 
Mimi nakushauri uwe una nyoa tu dada yangu au nywele yako unaitia wave au kali kitiki au curry cream zile sijui unapendeza fresh tu pole
Nilikua nimenyoa sema mr hapendi ninyoe anasema yy anyoe na mm ninyoe? ndo nimeanza kusuka bado fupi fupi maybe zikikua ntaweka tena dawa.
 
Fanya unavyotaka wewe mwambie Mr asikupangie katika muonekano wako dada mwambie nikiwa IVI ndio nakuwa comfortable kama Mimi nikifuga nywele muonekano wangu au mzuri KWAIYO most of the time nakula mapara au low cut tu
 
Ndio maana wanawake wengi mnakua na vipara mkizeeka

Mnasuka hovyo na bahati mbaya mara nyingi mitindo mnayosuka haipendezi

Fumua tu
 
Ndio maana wanawake wengi mnakua na vipara mkizeeka

Mnasuka hovyo na bahati mbaya mara nyingi mitindo mnayosuka haipendezi

Fumua tu
Kipara kwa sbb ya kusuka?.
 
Kipara kwa sbb ya kusuka?.
Yaani hujui?

Angalia wengi wanaosuka hasa extensions wanaishia kupungukiwa nywele za pembeni na mwisho sehemu nyingine pia

Ususi Kwa kukaza nywele unaondoa na vishina vya nywele na kufungwa kabisa chance ya kuota tena

Wait for it
 
Sijawahi kukazwa hivi ndo mara ya kwanzq so siwezi kusuka tena nywele za kuumiza hivi. Mara nyingi mtu akinivuta huwa namwambia mapema sasa huyu leo wakati anasuka wala sijasikia kuvutwa kabisaa ila baadae naona kama siwezi kucheka.... kugeuka...nimeingia kitandani ndo doooooh
 
Kwani kusuka lazima? Unafanya kitu kinakutesa achana nacho
Sawa. Ila imetokea leo na dawa zipo ndo nimeomba watu wanipe ushauri Joanah amenijbu hapo ntatafuta kesho. Tunasuka daily ila hatuvutwi hivi
 
Kesho utaamka kichwa kinauma balaa
 
Huo muziki mkali sana. Ikishindikana fumua tu. Maji ya baridi huwa yanapoza kwa muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…