Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mwagia mafuta ya nazi mengi ccyJamani hapa nataka nifumue ila hela yangu inauma, lakini naumia kila upande haufai kwa kulala yani nikilalia paji la uso ndo naona afadhali....
Usiku wa leo ukiisha sitakaa kusuka tena nywele za kuumiza hivi aisee. Au nyie warembo mnazipoozaje? Maana
π€£π€£π€£Kwanza hyo hamu inatoka wapi
Au labda uzifumue usiku huuLeo mnanipa ushauri murua ila kila kitu sina humu ndani. Ukisikia kufa kwa nyani ndo leo hapa nina mgando blue magic tuu na Radiant ya mba
Ningekuwa mpenzi wako ningezifumua mdogomdogo huku tunapiga mastoriπ π π nitafanyaje sasa
Pole sana mremboHapana nitaumia zaidi ngoja tuu nibembeleze usingizi kesho nikiamka zinauma ntafumua
Uuuuh Leo utalala kichwa juuπLeo mnanipa ushauri murua ila kila kitu sina humu ndani. Ukisikia kufa kwa nyani ndo leo hapa nina mgando blue magic tuu na Radiant ya mba
Hata sio nyingi elfu 30 tuu pomoja na nyuzi huku kwetu bado tunasukana ki ujamaa. Ila kwa usawa huu acha tuu nivumilie