Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

Mtajitokeza wengi wahanga wa hili.

Ajira kwa mashangazi inafika ukomo kwa immediately effect
 
Ukiangalia kwa umakini ni kama serikali imeamu kuacha mambo yake na kufatilia maisha yetu

Hivi Serikali huwezi kuwa bize na mambo yako binafsi?[emoji23][emoji23]
 
Ukiangalia kwa umakini ni kama serikali imeamu kuacha mambo yake na kufatilia maisha yetu

Hivi Serikali huwezi kuwa bize na mambo yako binafsi?[emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani wakiona vijana wameanza kuwa na furaha kwenye jambo fulani nao wanatia timu ilimradi watu wateseke
 
Hivi mwanaume timamu au rijali unatumia huo upuuzi ili ugundue nini.
Mnafeli wapi asee, hamjui mazoezi hamjui diet au hivyo mnaviona vigumu,

ndo maana mashosti wanaongezeka kwa fujo.
F*ck it heal the world dear God
πŸ™„πŸ™„
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana vifo vya ghafla Guest vilikuwa vimeongezeka sana

Kuna hichi kinywaji kinachoitwa Alkasusu nacho kifanyiwe uchunguzi, kidogo kinitoe Roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…