Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Hicho ndicho mbowe alikuwa anataka kifanyike kwa manufaa yake na wanaharakati wanaojitambua... Alitaka afuatwe siyo kujipeleka kama gogo.. Aidha apelekewe taarifa kiutaratibu... taarifa ya lizaboni sisi haitushtui coz tulijua hayo mambo mawili lazima yatokee...
 
Naona heshima ya wadau... kwa mbaali inaimarika km huyu tu ndani basi mmh....hapa ni mwendo wa kutii sheria bila.....
 

Kwanini huwa unawashwa sana na Mambo ya mbowe?!
 
Mbowe kakosa UJASIRI hadi kazima simu tangua Jumatano wiki iliyopita, wala haonekani hadharani, huyu hafai kukabidhiwa nchi, anaogopa wito wa POLISI!!
 
Ilikuwa lazima apatikane na kukamatwa, Ndio maana nashangaa kwa nini ajifiche...
Kama anaona anachofanya ni sahihi kisheria angeendelea na shuguli zake waziwazi sio kujifichaficha

Mmeshampeleka Riziwani na Diamond??
 
ni bora kuwa na adui mwenye akili kuliko kuwa na rafiki mjinga kwaheri tanzania
 

Umempelekea taarifa Makonda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…