Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi

Hii drama ya wauza madawa ya kulevya this time ni Kali kiukweli. It is going to be tough. Hope that drug dealers won't fight back. They always do!


Haina ukali wowote let us turn.................
 

 
Kwa hiyo nimwambie akutaje ili kesi ikiisha muishi wote?
Mkuu usiniingize kwenye matatizo kila mtu abebe msalaba wake.kwenye raha tushirikishane hayo matatizo yake atajua mwenyewe sijamtuma akauze madawa mimi wala sijawahi kupata hata senti yake.
 
Au anahisi jela ni insta?

Maana huko ndiko kila mwenye 'nyongo' huitapika.
 
kwahiyo anataka aachiwe eti kwasababu huyo masogange hajakamatwa!
Anyway bigup diamond uliona mbali kumkwepa huyu mtu hana fikra pevu kama jina lake tu linatosha kutengeza pesa ya kutosha
 
Unajua serikali ina mkono mrefu. asifikirie kabisa kwama umaarufu wake ni zaidi ya serikali. serikali inaweza kuumaliza umaarufu wake ndani ya dakika chache tu. Akae kimya tu kama hausiki itajulikana na ndiyi aanze kesema kuropoka.
 
Na wema akiwa na hasira anaropoka chochote(jeuri kuwa hakuna wa kumgusa)

Wema hana marafiki wazuri,alionao wote wamemgeuza dili na breaking news(habari mubashara)kwa kila akiongeacho na akifanyacho.
Shida ni watu wa karibu na wema.....

Mtu mwenye nia nzuri na wema angeedit hiyo clip

Na mange alivyonyamitusi hata hakuangalia athari za hilo neno......
 
Mkuu usiniingize kwenye matatizo kila mtu abebe msalaba wake.kwenye raha tushirikishane hayo matatizo yake atajua mwenyewe sijamtuma akauze madawa mimi wala sijawahi kupata hata senti yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwan siuna mpenda
Ukipenda boga penda na ua lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…