ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Fact is, wema ni teja I am not sure kama muuzaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii drama ya wauza madawa ya kulevya this time ni Kali kiukweli. It is going to be tough. Hope that drug dealers won't fight back. They always do!
We ni mwanamke au mwanaume? ?we muache ajifanye staa mpaka kituo cha polisi,makonda hata awe malaya au shoga,bado ni kiongozi wetu tu heshima mbele
Kwa hiyo nimwambie akutaje ili kesi ikiisha muishi wote?Jamani niko hoi kwa sauti ya huyu Wema.nitampataje msaada tafadhali
Nenda centralJamani niko hoi kwa sauti ya huyu Wema.nitampataje msaada tafadhali
Mmh naona mambo yanazidi kuwa mazito baada ya audio clip ya wema kuvuja akimkashifu mh paul makonda alipokua kituoni,jambo lililonisikitisha ni kumuita muheshimiwa m*t*k* kweli is it fair? yule ni kiongozi tumbukeni jamani naona tunamchezea kama mpira, wema anajiingiza kwenye matatizo mazito sana na serikali, akumbuke kuwa hagombani na makonda anagombana na serikali ya CCM awamu ya tano,sasa sijui kama vita yake ataiweza.
Haya turudi kwenye ubuyu,kumbe makoo anatoka na msambwinungwa? duh na kapangiwa nyumba makongo,mmmh haya mapya aiseeh duh hii ni nomaaa
...maskini weeee!.,id yako na ulichokiandika hapa.,Nop! Mange is very smart upstair that girl. You wont catch her like a sitting rabbit
Unajua maana ya ushahidi?Basi ushaidi tiyari umekamilika kama wema mwenyew anazbitsha kwamba masogange ajatajwa maana yake wema anausika na madawa na anawajua wenzake!! Birds of the same feathers do fly together
Mkuu usiniingize kwenye matatizo kila mtu abebe msalaba wake.kwenye raha tushirikishane hayo matatizo yake atajua mwenyewe sijamtuma akauze madawa mimi wala sijawahi kupata hata senti yake.Kwa hiyo nimwambie akutaje ili kesi ikiisha muishi wote?
Ngoja amalize matatizo yake kwanza.Nenda central
Hahahaha wakat kama huu wa matatizo ndio inabidi uwe karibuNgoja amalize matatizo yake kwanza.
Shida ni watu wa karibu na wema.....
Mtu mwenye nia nzuri na wema angeedit hiyo clip
Na mange alivyonyamitusi hata hakuangalia athari za hilo neno......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu usiniingize kwenye matatizo kila mtu abebe msalaba wake.kwenye raha tushirikishane hayo matatizo yake atajua mwenyewe sijamtuma akauze madawa mimi wala sijawahi kupata hata senti yake.