DAWASA LUGURUNI/ KIBAMBA / DARE SALAM,
--Kwnza wametuwekea mita ambazo zinakimbia kuliko matumizi unayotumia,
Maana yake kama utajaza units 2 kwenye tank,
lakini mita itasoma 4 units.,badala ya uhalisia 2 units,
Tushalalamika sn watubadilishie hizi mita ,
lakini Kwa sababu hizi mita zinawapa wao faida ,
Still wameweka pamba masikioni.
--Wasoma mita wanapokea rushwa kutoka Kwa wateja ili wasikate maji hata Kama una deni kubwa kiasi gn,
Usipotoa rushwa wanasitisha huduma ,,
na kuamuru kurudisha maji Tena Kwa penalty ya 15000/.
Hivi kweli mtu anadaiwa 25,000/ mnakata maji ,
Mnamuamuru akalipe 15000 za penalty,
Hii kweli inaingia akilini?.
Mteja anadaiwa 70,000/ mnamuacha aendelee kutumia huduma ya maji hata Kama anadaiwa kiasi kikubwa.
Sababu tu amewapa rushwa.
Mteja mwenye deni dogo kama 30,000 mnasitisha huduma.
DAWASA LUGURUNI/ KIBAMBA/ DARESALAM ,,
mmekuwa watu wa hovyo hakuna mfano..
Njaa zenu zitawafikisha pabaya sn.
Wanainchi mnatubambikia units kubwa ambazo kiuhalisia hatutumii,,
Tunajitahidi kulipa lakini still mnatukatia maji,
Naiomba serikali ifuatilie wale wote waliositishiwa huduma mwezi huu ,,
na wale ambao Bado wanaendelea na huduma watakuja kugunduwa uozo wote wa wasoma mita na DAWASA Kwa ujumla.
Sent from my Infinix X624 using
JamiiForums mobile app