DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

Dawasa inaharibigwa na wasoma mita.
wasoma mita ndio wanao wakosesha mapato ya Serikali.

Wasoma mita ndio wanao leta uchonganishi kati ya wateja na Shirika.

wasoma mita ndio wanao chochea hujuma na wizi kwa shirika

Tabia ya kubambikia wateja bili imekuwa kero ya muda mrefu hapa Jijini DSM na hivyo watenja kukosa imani na Dawasa.

99%ya malalamiko ya wateja ni kubambikiwa bili.....mwisho wa siku wateja wanakata tamaa na wanaamua kutumia mbadala.

Ushauri;
1. Wazo la kufunga mita kama za Luku lifanyike haraka sana haswa kwa mkoa wa DSM ambao ukukithiri malalamiko
 
Hili eneo Kuna shida kubwa ya maji. Ingilieni kati.

Dawasa jamani pesa tunalipa, maji hatupati inamaana gani!?

Screenshot_20221004-181145.jpg

Tunasema mnataka pesa zetu .. okay nasi tutumie huduma yenu. Lkn hii huduma ya maji inasuasua. Mpuuzi ni nani hapa.

Inakuaje mteja anaripoti tatizo halifanyawi kazi? Miezi 3 mteja anaomba msaada kimya.

What the hell..!

Picha Hii inaonesha eneo lenye changamoto. Tunaporipoti Mambo haya mjue kuna uzembe uliopindukia. And we are feded up..

Nawasilisha.

Kwenye dots(ramani) tafuteni yupo mjinga mmoja anafanya mzaha na maishaya watu hawajibiki
 
Kerege -Bagamoyo, kuanzia jioni mpaka usiku wa manane hakuna maji. Kulikoni?
 
Kuna michezo mnaifanya ya kukata maji kurudisha sijui ina.malengo gani.
 
DAWASA LUGURUNI/ KIBAMBA / DARE SALAM,
--Kwnza wametuwekea mita ambazo zinakimbia kuliko matumizi unayotumia,
Maana yake kama utajaza units 2 kwenye tank,
lakini mita itasoma 4 units.,badala ya uhalisia 2 units,

Tushalalamika sn watubadilishie hizi mita ,
lakini Kwa sababu hizi mita zinawapa wao faida ,
Still wameweka pamba masikioni.

--Wasoma mita wanapokea rushwa kutoka Kwa wateja ili wasikate maji hata Kama una deni kubwa kiasi gn,

Usipotoa rushwa wanasitisha huduma ,,
na kuamuru kurudisha maji Tena Kwa penalty ya 15000/.

Hivi kweli mtu anadaiwa 25,000/ mnakata maji ,
Mnamuamuru akalipe 15000 za penalty,
Hii kweli inaingia akilini?.

Mteja anadaiwa 70,000/ mnamuacha aendelee kutumia huduma ya maji hata Kama anadaiwa kiasi kikubwa.
Sababu tu amewapa rushwa.

Mteja mwenye deni dogo kama 30,000 mnasitisha huduma.

DAWASA LUGURUNI/ KIBAMBA/ DARESALAM ,,
mmekuwa watu wa hovyo hakuna mfano..

Njaa zenu zitawafikisha pabaya sn.

Wanainchi mnatubambikia units kubwa ambazo kiuhalisia hatutumii,,
Tunajitahidi kulipa lakini still mnatukatia maji,

Naiomba serikali ifuatilie wale wote waliositishiwa huduma mwezi huu ,,
na wale ambao Bado wanaendelea na huduma watakuja kugunduwa uozo wote wa wasoma mita na DAWASA Kwa ujumla.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
maji yenyewe tunayapata kwa manati tena usiku mkali ukichelewa kidogo imekula kwako
 
Kuna michezo mnaifanya ya kukata maji kurudisha sijui ina.malengo gani.
Wana mambo ya ajabu sisi mikoani maji tunapata Kila mwisho wa mwezi na mara Moja mfano tarehe 30 tu. Mpk tarh 30 nyingne na tupo Kanda ya ziwa
 
Naomba mseme tu kama Kuna mgawo wa maji. Nipo Kerege- CCM, maji ni shida hasa usiku.
 
maji yenyewe tunayapata kwa manati tena usiku mkali ukichelewa kidogo imekula kwako

DAWASA watu wa hovyo kabisa,,

Wamerudishà mradi wa magari ya kuuza maji,
Ambayo zamani yalitoweka..

Wanainchi wanatufungia maji Ili watu wa magari wauze maji ..

Hii inchi kama hakuna viongozi?
Tumelalamika sana bila msaada wowote .

Kama viongozi wa serikali msipotusaidia sisi wanainchi ambao tunateseka Kwa sababu ya ufisadi wa watu wachache waliopewa mamlaka,

Wanainchi tukalalamike wapi?

Tunaomba serikali sikivu itusikie wanainchi wa LUGURUNI/KIBAMBA DARE SALAM,,

Tunafedheheshwa sana na DAWASA..
 
Please avail your Water Rationing Schedule ili tujipange vizuri
 
Jana kunduchi eneo la mtongani,maji yalitoka baada ya siku 21 za mateso,na yalipotoka nilifanikiwa kukinda robo ndoo ya lita kumi yakakata tena hadi leo hayajarudo,shame on you dawasco
 
Mtatupa maji au hamtatupa hayo maji??Mnashindwaje kuwa vcreative mkachimba visima? shame
 
Dawasa inaharibigwa na wasoma mita.
wasoma mita ndio wanao wakosesha mapato ya Serikali.

Wasoma mita ndio wanao leta uchonganishi kati ya wateja na Shirika.

wasoma mita ndio wanao chochea hujuma na wizi kwa shirika

Tabia ya kubambikia wateja bili imekuwa kero ya muda mrefu hapa Jijini DSM na hivyo watenja kukosa imani na Dawasa.

99%ya malalamiko ya wateja ni kubambikiwa bili.....mwisho wa siku wateja wanakata tamaa na wanaamua kutumia mbadala.

Ushauri;
1. Wazo la kufunga mita kama za Luku lifanyike haraka sana haswa kwa mkoa wa DSM ambao ukukithiri malalamiko
iv bei elekez ya maji kwa unit shngap?
 
MAMA KUNA KITU CCM WANAKOSEA NI NCHI KUKOSA MAJI .BORA TUKOSE UMEME LAKINI MAJI YATOKE KILA NYUMBA.LAKINI VIONGOZI WOTE SERIKALINI HAWANA UWEZO.WAMEBEBWA KWA MBEREKO KUPATA HIZO NAFASI.
 
Back
Top Bottom