Dawasa inaharibigwa na wasoma mita.
wasoma mita ndio wanao wakosesha mapato ya Serikali.
Wasoma mita ndio wanao leta uchonganishi kati ya wateja na Shirika.
wasoma mita ndio wanao chochea hujuma na wizi kwa shirika
Tabia ya kubambikia wateja bili imekuwa kero ya muda mrefu hapa Jijini DSM na hivyo watenja kukosa imani na Dawasa.
99%ya malalamiko ya wateja ni kubambikiwa bili.....mwisho wa siku wateja wanakata tamaa na wanaamua kutumia mbadala.
Ushauri;
1. Wazo la kufunga mita kama za Luku lifanyike haraka sana haswa kwa mkoa wa DSM ambao ukukithiri malalamiko