DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

Hakuna tusi la nguoni hapo,kama Mpina alisema kuwa kikao hicho cha wananchi na DC ni sawa na kikao cha harusi basi DC alikuwa sahihi kusema Mpina ndiye mwali kwani ndiye mhusika mkuu katika sakata hilo.
 
Rebecca Sanga=Deo Sanga=Mwingulu Nchemba

What do u expect?

Mwingulu January na Nape wasipoangaliwa kwa macho matatu, wataharibu kbs taswira ya jithada ya Mh. Rais!
Sanga mbona ni jina common sana kwa Wakinga ni kama Mabula kwa wasukuma au Marwa kwa Wakurya, haina maana kwamba ni ndugu
 
waporaji wa ardhi wako mahakamani wewe hujiulizi suala hili ni la mwaka 2009 ndio lisemwe leo kwa sababu ya kuhoji mambo ya wananchi bungeni na kupinga ufisadi? mwaka 2009 RAIS alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange, IGP Said Mwema... akaja Rais Dk. John Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Majaliwa, Mkuu wa majeshi Mabeyo, IGP Sirro, na sasa Rais ni Samia, Makamu wa Rais, Dk. Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa, Mkuu wa majeshi, Mkunda, IGP Wambura........ WAKUU wa mikoa Morogoro wakati mpina anaingia Mkuu wa Mkoa ni Said bin Said Kalembo (Meja Jeneral Mstaafu), akaja Issa Salehe Machibya
(Luteni Kanali Mstaafu), akaja Joel Nkaya Bendera, akaja Rajab Mtumwa Rutengwe, akaja Kebwe Steven Kebwe, akaja Loata Erasto Olesanare, Martine Reuben Shigela, akaja Fatma Abubakari Mwassa na sasa Adam Malima.......viongozi wote hao wamuangalie tu mpina anapora ardhi za wananchi?
 
Mpina ni fisadi aliyebebwa na jiwe sababu ya uswahiba
Mafisadi wako mahakamani na wengine wako magerezani.... wewe hujiulizi suala hili ni la mwaka 2009 ndio lisemwe leo kwa sababu tu ya kuhoji mambo muhimu ya kitaifa bungeni na kupinga ufisadi hadharani? mwaka 2009 RAIS alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange, IGP Said Mwema... akaja Rais Dk. John Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Majaliwa, Mkuu wa majeshi Mabeyo, IGP Sirro, na sasa Rais ni Samia, Makamu wa Rais, Dk. Mpango, Waziri Mkuu Majaliwa, Mkuu wa majeshi, Mkunda, IGP Wambura........ WAKUU wa mikoa Morogoro wakati mpina anaingia Mkuu wa Mkoa ni Said bin Said Kalembo (Meja Jeneral Mstaafu), akaja Issa Salehe Machibya
(Luteni Kanali Mstaafu), akaja Joel Nkaya Bendera, akaja Rajab Mtumwa Rutengwe, akaja Kebwe Steven Kebwe, akaja Loata Erasto Olesanare, Martine Reuben Shigela, akaja Fatma Abubakari Mwassa na sasa Adam Malima.......viongozi wote hao wamuangalie tu mpina anapora ardhi za wananchi?
 
Nyie watu jiwe aliondoka na akili zenu

Mgogoro uliokuwepo kipindi cha jiwe, mtetezi feki wa wanyonge ila hakumgusa sababu ya uswahiba

 
Mwenye CV na DC wa Morogoro, Rebecca Sanga aliyemwita Mpina ni MWALI.

Nimeona huyu DC anazidi kupata umaarufu mkubwa kwa kumuita mpina mwali anatamba mitandao karibu yote.

Naomba mwenye cv yake ya uongozi.
Huyo alikuwa Muuza bar CV utaipata wapi!
 
Mwanamke kama huyu wachache sana nchi hii😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…