Ngoja siku na yeye yamkuteDC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi.
View attachment 3356498
Makombora ya konyo, ng'wanoko ebheMakombora yanaendelea kwenye ulimwengu wa roho. Maombi yatakapokamilika na watesi watakuwa kwa magu ndipo atatoka.
Anafikiri wadau wamesahau? Au tuipandishe ile video mkuu? Huyo fala amesoma ilboru ila amekwenda kule amejitoa ufahamu.Mzee wa kupima oil ya GIGY MONEY
Anawaogopa polisi kwa sababu ni watekaji na wauaji, siku hizi polisiccm wamegeuka kuwa mumiani ukiingia mikononi mwao ni sawa na kukutana na israili.DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi.
View attachment 3356498
anguko la ccmAskofu feki katoroka akiwa kavaa boksa kifua wazi
Jasusi la mbinguni lile.Gwaji boy aliwezaje kutoka pale kwa ule wingi wa Polisi waliozagaa pale kanisani ? π
Even Jesus alivuliwa nguo msalabani, but that didn't make him fake,, jitahidi kushirikisha akili yako vizuri π€.Askofu feki katoroka akiwa kavaa boksa kifua wazi
Kwan Soka kosa lake ni lipi ?DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi.
View attachment 3356498