DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

Kibaya sasa, huyo DC ndiye mkuu wa kamati ya ulinzi ya wilaya, kwa hivyo amri yake ina uzito fulani wa kisheria, si amri ya kisiasa tu.

Ma DC wana discretionary power sana, tubadilishe haya mambo kwenye katiba mpya.
 
Analijua tatizo ndiyo sababu aliondoka, ukoo wa mwalimu ni balaa ndiyo sababu haujastawi kwani kila mtu yuko kivyakevyake, nakumbuka kero zao nilipokaa Mwitongo.
 
DC amefanya over reaction.

Alipaswa kukuita akueleze anachokisikia ama kukifahamu kisha akupe haki ya kusikilizwa.

Anyways tuyaache. Vp US wanaendeleaje
 
Baadhi ya watoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ni issues!, mmoja wao tunaye humu JF, usiwaamini sana maana...
Naomba nisimalizie kwa heshima ya Mwalimu!.
P
 
.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Ulevi sio kosa la jinai la kufanya mtu afukuzwe kijijini, ila yatokanayo na huo ulevi wa kupindukia kama yanajirudia mara kwa mara, na kupelekea jinai, kuliko kumfunga jela mtoto wa Baba wa Taifa, bora afukuzwe kijijini!.
P
 
Hana ubavu huo ila amefanya hivyo labda kumnusuru huyo mtoto wa Taifa asije akapatikana na jambo baya !!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aiseee fasihi tamu sana
 


Wewe na yeye kafanyeni admission Mirembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ