Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibaya sasa, huyo DC ndiye mkuu wa kamati ya ulinzi ya wilaya, kwa hivyo amri yake ina uzito fulani wa kisheria, si amri ya kisiasa tu.Kama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Oppenheimer si ndiye aliyeongoza Manhattan Project iliyotengeneza atomic bomb?Oppenheimer naye aliposema mikono yake ina damu, Truman alimtimua toka Ikulu ya Marekani. 😆😆
Analijua tatizo ndiyo sababu aliondoka, ukoo wa mwalimu ni balaa ndiyo sababu haujastawi kwani kila mtu yuko kivyakevyake, nakumbuka kero zao nilipokaa Mwitongo.Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.
Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa''
Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay. Nakwenda kumwambia DC kwamba umesema hakuna tatizo lililotokea.
Sasa yule jamaa alipoondoka mimi nikafikiri[ kwa dakika moja], halafu nikaamua kuondoka Butiama. Sasa nipo Arusha.
Again, DC wa Butiama amemfukuza kule mtoto wa Mwalimu Nyerere.
DC amefanya over reaction.Kama kuna tatizo mtu anatakiwa kuniambia. Kuna tatizo.
Unakumbuka jana au juzi au lini,ulifanya nini? Ulifanya hivi na hivi. Unabisha?
Kwa hiyo nakutaka uondoke kijijini.
Sasa I have not been charged with anything. Hata sijui nijibu nini.
Kwa hiyo I have to be silent. I have nothing to say.
Na hata kama yule mtu ananieleza complaint zake ni nini. I will only answer serious complaints. Siyo mambo ambayo watu wanazungumza kwa maskhara.
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Elewa codes mkuu😅Analijua tatizo ndiyo sababu aliondka, ukoo wa mwalimu ni balaa ndiyo sababu haujastawi kwani kila mtu yuko kivyakevyake, nakumbuka kero zao nilipokaa Mwitongo.
Baadhi ya watoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ni issues!, mmoja wao tunaye humu JF, usiwaamini sana maana...Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.
Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa''
Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay. Nakwenda kumwambia DC kwamba umesema hakuna tatizo lililotokea.
Sasa yule jamaa alipoondoka mimi nikafikiri[ kwa dakika moja], halafu nikaamua kuondoka Butiama. Sasa nipo Arusha.
Again, DC wa Butiama amemfukuza kule mtoto wa Mwalimu Nyerere.
Ulevi sio kosa la jinai la kufanya mtu afukuzwe kijijini, ila yatokanayo na huo ulevi wa kupindukia kama yanajirudia mara kwa mara, na kupelekea jinai, kuliko kumfunga jela mtoto wa Baba wa Taifa, bora afukuzwe kijijini!..
Kama mtu akiniita mimi mlevi wakati mimi siyo mlevi,ni kazi ya mtu mwingine kumwambia kwamba mimi siyo mlevi,siyo kazi yangu.
Hana ubavu huo ila amefanya hivyo labda kumnusuru huyo mtoto wa Taifa asije akapatikana na jambo baya !!Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.
Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa''
Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay. Nakwenda kumwambia DC kwamba umesema hakuna tatizo lililotokea.
Sasa yule jamaa alipoondoka mimi nikafikiri[ kwa dakika moja], halafu nikaamua kuondoka Butiama. Sasa nipo Arusha.
Again, DC wa Butiama amemfukuza kule mtoto wa Mwalimu Nyerere.
Ndiye huyo. Lakini ilifika mahali akajawa uoga wa kutisha.Oppenheimer si ndiye aliyeongoza Manhattan Project iliyotengeneza atomic bomb?
Analijua tatizo ndiyo sababu aliondoka, ukoo wa mwalimu ni balaa ndiyo sababu haujastawi kwani kila mtu yuko kivyakevyake, nakumbuka kero zao nilipokaa Mwitongo.
Baadhi ya watoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ni issues!, mmoja wao tunaye humu JF, usiwaamini sana maana...
Naomba nisimalizie kwa heshima ya Mwalimu!.
P
Hapo kamaanisha Nini?Huyu Andrew kumuelewa unatakiwa uwe umetulia sana kiakili, unaweza kudhani jamaa hayuko vizuri kichwani kumbe wewe ndie akili ndogo imeshindwa kumuelewa.
[emoji23][emoji23]Huyu Andrew kumuelewa unatakiwa uwe umetulia sana kiakili, unaweza kudhani jamaa hayuko vizuri kichwani kumbe wewe ndie akili ndogo imeshindwa kumuelewa.
Yeah.Oppenheimer si ndiye aliyeongoza Manhattan Project iliyotengeneza atomic bomb?
Dah!
Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe.