Mpaka naandika ile comment sikujua kwamba aliyeandika ni mtoto wa Mwalim.,.Kabisa kabisa, ni mwandiko wa mwalimu huu. Nakumbuka pale aliposema mtu akikuuliza swali la kijinga na wewe mjibu hivyo hivyo.
Sio Dingi tuu, ni both Dingi na Maza!. Tumezaliwa 8, 5 walikuwa serikalini, watatu tuko sekta binafsi!. Hatuwezi wote 8 kuwa mwana wa nyoka ni nyoka!, wengine ni mijusi tuu!.Mjomba pascal unataka kuniambia wewe pia dingi yako alikuwa ni mtu wa system kama wewe?
mjomba kongole sana!!!!!! nimekuwa nikikufuatilia sana kwa kipindi kirefu mno toka enzi za JK,akaja JIWE na sasa yupo huyu BI'KIDUDE(toka nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzimz).........lakini siku za hivi karibuni umekuwa ukiniangusha sana nashindwa niseme vipi ila kuna kwa akili yangu nahisi unatafuta ugali flani pale Magogoni!!!! Zile nyuzi zako za maana siku hizi zimekuwa za kusifu,kuimba,mapambio na kuabudu tu muda wote.....nakuomba badilika mjombaSio Dingi tuu, ni both Dingi na Maza!. Tumezaliwa 8, 5 walikuwa serikalini, watatu tuko sekta binafsi!. Hatuwezi wote 8 kuwa mwana wa nyoka ni nyoka!, wengine ni mijusi tuu!.
Mtu wa system anaweza kupandisha bandiko kama hili TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! au kumuuliza CinC wako swali kama hili ?
View: https://youtu.be/Ta0URHvUlkoP
Dah, aisee umetisha sana. Uzi ufungwe🙌🙌🤣🤣
Soma kwa kutulia acha kukurupuka kutokea huko shamba🤣Analijua tatizo ndiyo sababu aliondoka, ukoo wa mwalimu ni balaa ndiyo sababu haujastawi kwani kila mtu yuko kivyakevyake, nakumbuka kero zao nilipokaa Mwitongo.
Sanaaa😂😂😂😂😂😂aiseee fasihi tamu sana
Inaonekana na yuko ARS inaonekana anafanyia mpango wa kuhamia uchaganiKwanini amefukuzwa [emoji23]
mjomba kongole sana!!!!!! nimekuwa nikikufuatilia sana kwa kipindi kirefu mno toka enzi za JK,akaja JIWE na sasa yupo huyu BI'KIDUDE(toka nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzimz).........lakini siku za hivi karibuni umekuwa ukiniangusha sana nashindwa niseme vipi ila kuna kwa akili yangu nahisi unatafuta ugali flani pale Magogoni!!!! Zile nyuzi zako za maana siku hizi zimekuwa za kusifu,kuimba,mapambio na kuabudu tu muda wote.....nakuomba badilika mjo
Shikamoo kaka Mayala...Sio vizuri kutaja taja majina ya watu, ila Tambaza O- Level Class of 1982-85 tulikuwa class moja na mtoto wa Nyerere tena the same class na mtoto wa Ben, huku Binti Malecela na mtoto wa Mwinyi wakiwa A-level PCB!.
P
AiseeeeHakuna jambo(baya) litanitokea. Kila mtu lazima aelewe hivyo.
The only thing I have said about this incident is that I don't want to talk about this this incident .
And I haven't talked about it.
Kuhusu hii JF, I don't have to be here.
Viongozi wanachemsha,ukiambiwa unasema "dishi imeyumba",sijui nini.
Halafu baadaye unalalamika watu wasiojulikana wamekuja na landtover nyeupe wamemchukua ndugu yako.
Siyo lazima niwepo hapa JF Na mini nasema nataka lutoka hapa JF.Niondoe hapa JF. Watu wanatukana sababu. NOTHING HAS HAPPENNED. Lakini wati wanataka kunichagiza,niwe mentally confunsed. How can I become mentally confused?
Sasa mtu kuniambia yeye ana simu ya DC wa Arusha ndio nini? Sipendi hixi dharau. Niondoe hapa JF.
Mimi nimuogope nani?
Wapo highly trained assassins wanalipwa hela nyingi kunilinda.
Kama nikidhurika,it means they are not doing their job properly.
Mimi nimesema Familia ya Nyerere lazima iheshimiwe in its totality. Siyo mtu amtukane Nyerere huyu,aseme,lakini sikumtukana Nyerere yule. Nyerere ni Nyerere tu,ukimtukana Nyerere mmoja,umewatukana wote.
Na mimi nitawaheshimu wakuu wa wilaya as a group. Siyo kwamba nimtukane DC huyu,niseme kwamba wengine sikuwatukana.
Nilikuwa nasoma juzi Thomas Jefferson anasema ,"The most important thing is the execution of the law." Which cannot be true,kwa sababu throughout history kumekuwepo na sheria nyingi sana kandamizi.
The most important thing is to formulate the laws. Like Solon.
Kuhusu hii JF I don't have to be here.
Tunapokuwa JF au Facebook au Twitter,it is just for the purpose of entertainment. There is no other purpose.
Kwa hiyo nasema niindoe JF NOW,basi,na hili tatizo liishe.
Kwamba,inahitajika strong leadership to hold the government together ili viongozi mikoani wa- reflect views za rais,kama,alivyokuwa anasema Jenerali a few days ago.
Nime-reply comment ya Pascal Mayalla wala sio wewe prince..........watoto wa Mwalimu mna kitu kinawatesa mbona Mzee alikuwa Kichwa sana?? Nyie mnafeli wapi ndugu zanguWewe nadhani unauliza maswali mawili.
Kwanza unauliza kwa nini naandika haya mambo ambayo yanafanya watu wafikirie kwamba nataka kurudi Ikulu?
Swali la pili unauliza nadhani ni kwa nini katika maandiko yako mambo ya dini yanakuwa mengi sana( mpaka yanakuwa kero)? Haujui kwamba yapo mambo mengine ambayo pia ni important?
Kwa kweli sijui kuhusu hayo mambo mengine ambayo ni important.
Kwa sababu huku nyumbani kwetu,watu wanakunywa pombe wanarudi nyumbani asubuhi wamepakizwa kwenye wheelbarrow. Kwa hiyo lazima tukumbushane mambo ya dini.
Mkuu Kinje, Kinjekitile Jr , kwanza asante, sitafuti ugali wowote popote na kwa yeyote!, siku hizi mambo mazuri, hivyo ni mwendo wa nyimbo za sifa na mapambio tuu.mjomba kongole sana!!!!!! nimekuwa nikikufuatilia sana kwa kipindi kirefu mno toka enzi za JK,akaja JIWE na sasa yupo huyu BI'KIDUDE(toka nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzimz).........lakini siku za hivi karibuni umekuwa ukiniangusha sana nashindwa niseme vipi ila kuna kwa akili yangu nahisi unatafuta ugali flani pale Magogoni!!!! Zile nyuzi zako za maana siku hizi zimekuwa za kusifu,kuimba,mapambio na kuabudu tu muda wote.....nakuomba badilika mjomba
Inaonyesha thinking yangu ni 'wooly',naona vitu ambavyo havipo.Nime-reply comment ya Pascal Mayalla wala sio wewe prince..........watoto wa Mwalimu mna kitu kinawatesa mbona Mzee alikuwa Kichwa sana?? Nyie mnafeli wapi ndugu zangu