Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nje ya uwezo wako!K
Kwani amehama au unaota?
Kuna siku aliwashangilia wahuni wa ufipa?
Hopeless kabisaMkuu wa wilaya ya Hai mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu..
Mbona hata wewe imekuacha?Kwanini changamoto ya kupumua imemuacha huyu mpuuzi?
Ulisikia nimelazwa kama yeye?Mbona hata wewe imekuacha?
Kisaikolojia ukiona mtu kafanya kitu Halafu Anatumia mtu mwingi kukizungumzia na kutafuta uhalali.Watu wanasahau kuna maisha baada ya siasa.
Hakuna mtu aliipenda CCM na kujitoa kwa jasho na damu kama Nape Nnauye!
Sugu amshukuru sana mh rais.Huyu jamaa namkubali Sana kwa kumkomesha mbowe na genge lake
Rais Magufuli ana busara sana!Sugu amshukuru sana mh rais.
Bwashee hao wakuu Wa wilaya huoni wanaingiza siasa kwenye mambo ya uchumi.Bwashee siasa siyo uadui!
Busara huku Tarime ni uji,nimeshangaa sana.Rais Magufuli ana busara sana!
Ndio maana akili zenu ziko ujiuji zaidi!Busara huku Tarime ni uji,nimeshangaa sana.
Bwashee hakuna uchumi bila siasa!Bwashee hao wakuu Wa wilaya huoni wanaingiza siasa kwenye mambo ya uchumi.
Baraza la mazingira huwa wakikuta hufati masharti ya usalama,wao wanakupiga faini nakukufungia kwa muda mpaka urekebishe.Bwashee hakuna uchumi bila siasa!
Mahindi yanaingia Kenya kupitia Holoholo bwashee!Baraza LA mazingira huwa wakikuta hufati masharti ya usalama,wao wanakupiga faini nakukufungia kwa muda mpaka urekebishe....
Basi ni jambo jema.Mahindi yanaingia Kenya kupitia Holoholo bwashee!
Kenya inaitegemea zaidi Tanzania kuliko tunavyowategemea.
Inaonekana CCM Arusha hawana utamaduni wa kawaida wa CCM Magufuli ambao ni kujitoa ufahamu, kujikomba na kujipendekeza.Nakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tu.
Ukiwa nao wanakupamba kweli, ukitoka kidogo wanakumaliza kama hawakujui.
Ole Sabaya ameonyesha mapungufu ya serikali na vyombo vyake.Mkuu wa wilaya ya Hai Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu.
Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.
Ole Sabaya anasema amepokea hati ya mahakama ya kulifunga kabisa shamba hilo ili kuwaponya wananchi.
Maendeleo hayana vyama!