DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

Huyu Mbowe ndio kaweka na mahindi sumu... Tunakula sumu tutashindwa kuoa nchi jirani
 
Mwanadamu ni kitu gani, anafaa wapi?Jema lake lipi, naa baya lake lipi? Jumla ya Sikh zake haizidi mia.
 
Watu wanasahau kuna maisha baada ya siasa.

Hakuna mtu aliipenda CCM na kujitoa kwa jasho na damu kama Nape Nnauye!
Kisaikolojia ukiona mtu kafanya kitu Halafu Anatumia mtu mwingi kukizungumzia na kutafuta uhalali.

Ujue mtu huyo hana amani na suala hilo linamtesa sana.
 
Tundu lissu na lema walishayasema haya. wakiwamaliza wapinzani watanzana waoa kwa wao ndani
 
Bwashee hakuna uchumi bila siasa!
Baraza la mazingira huwa wakikuta hufati masharti ya usalama,wao wanakupiga faini nakukufungia kwa muda mpaka urekebishe.

Ila wao wakafyeka kabisa mpaka kabechi Bwashee,mkaingiza siasa kwenye uchumi mkachoma vifaranga Wa wakenya nilikuwepo wakichomwa Siku hiyo vifaranga walilia balaa Bwashee.

Na wao Leo wamewaachia mahindi yenu yapelekeni Zanzibar, wapemba nao wajifunze kula ugali.
 
Baraza LA mazingira huwa wakikuta hufati masharti ya usalama,wao wanakupiga faini nakukufungia kwa muda mpaka urekebishe....
Mahindi yanaingia Kenya kupitia Holoholo bwashee!

Kenya inaitegemea zaidi Tanzania kuliko tunavyowategemea.
 
Mahindi yanaingia Kenya kupitia Holoholo bwashee!

Kenya inaitegemea zaidi Tanzania kuliko tunavyowategemea.
Basi ni jambo jema.
Bwashee hao waliopoteza ajira kwenye hill shamba la Bw Mbowe wanamlaani huyo mkuu Wa wilaya,sidhani kama bado no mkuu Wa wilaya.
 
Nakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tu.

Ukiwa nao wanakupamba kweli, ukitoka kidogo wanakumaliza kama hawakujui.
Inaonekana CCM Arusha hawana utamaduni wa kawaida wa CCM Magufuli ambao ni kujitoa ufahamu, kujikomba na kujipendekeza.
 
Mkuu wa wilaya ya Hai Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu.

Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.

Ole Sabaya anasema amepokea hati ya mahakama ya kulifunga kabisa shamba hilo ili kuwaponya wananchi.

Maendeleo hayana vyama!
Ole Sabaya ameonyesha mapungufu ya serikali na vyombo vyake.
Sifurahii kuwaga kemikali katika maji yanayotumiwa na binadamu lakini ninamuomba Ole Sabaya aende katika maeneo yote yanayolimwa mpunga na aangalie "disposal ya vifaa vya kuhifahidhia dawa" na pia aangalie uoshaji wa vyombo vilivyotumika katika kupiga dawa.Anaweza akaanzia kwa wakulima wadogo tu wa kahawa.
Ole Sabaya atafute na asome chapisho la kuhusu mchicha wa Dar na kiasi cha E.coli waliopo ambao wanatokana na kinyesi cha binadamu.
Ole Sabaya ikiwa alionekana kwenye CCTV camera za kwa Mbowe akiwa ameshikilia AK47 kitamshinda nini kuliangamiza hilo shamba?
Ole Sabaya ana mission ya kuangamiza upinzani lakini wanaomtumia ni "myopic" na matokeo ni short lived!
Kila la heri na Mwenyezi Mungu amsimamie katika kila analopanga afanikiwe!
 
Back
Top Bottom