DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga
wakamatwe watu wote walishirikiana nao karibu bila kuangalia itikadi zao hata wale wajumbe watakuwa wanajua maana aliishi kwa siri sana walimchagua wanamjua alikokuwa akiishi so nao ni watuhumiwa piwa pia bila kujali chama
 
Wanataka Ugaidi wa kujitoa Mhanga utakuja.
Ukija wasitulazimishe Wananchi tuwasaisie kutoa taarifa Vituoni
 
Sasa ilikuwaje akawaacha raia na kutarget raia?Gaidi gani wa hivyo?
 
Hilo halina Ubishi.
Hamza alikuwa Gaidi namba 2.
ndio maana karibia wafuasi wote wa Chadema walimtangaza Hamza kama shujaa wao, inathibitisha kuwa Chadema wanaunga mkono kwa 100% vitendo vya kigaidi.
ndio maana hata kuthibitisha kesi ya Mbowe itakuwa kazi nyepesi sana.
huenda Hamza alitumwa na kumtumikia Gaidi namba 1.
Sawa mke wa Hamza tumekusikia
 
Lile lilitaka kuleta mambo ya kwenye Movie, alafu linakimbia limemgeuzia mgongo adui, sijui waliliokota wapi lile li afande
Nashangaaga sana pale makamanda wa mikoa wanapotoaga taarifa za kuua majambazi eti polisi wamefanikiwa kuuwa majambazi kadhaa kwenye mapigano ya kurushiana risasi bila ya wao hata kupunyuliwa kidogo.
 
Kwa hiyo kwa mujibu wa mheshimiwa mchunguzi nimeamua niwe ninatazama movies za James Bond. Nikimaliza tu nitakuwa Bod, 007, Licensed to Kill but not to break traffic Laws.
 
Duh kuna watu wana bahati sana. Mwanangu junia na darasa lake la sita B hawezi kuandika taarifa ya kipopoma kama ya huyu anayeitwa dci. Hii ni taarifa ya uchunguz au mpasho?
 
Back
Top Bottom