Mapolisi warudishe pesa na dhahabu walizompora shujaa Hamza, hizi hoja za kitoto wakadanganyane wenyewe kwa wenyewe huko.
 
Marehemu huwa hana haki maana hawezi ongea chochote.
 
DCI ameamua kuutaja na mtandao unaotoa mafunzo ya Ugaidi kabisa ili wanaotaka kujifunza na walikuwa hawajui wapate access. Kosa kubwa
Hata mimi nimeshangaa sana kuhusu hilo, mimi mwenyewe amenishawishi hadi nimeenda kuutafuta huo mtandao
 
Tunaliomba Jeshi la Polisi pia lifuatilie nyenendo za viongozi wa Chadema na baadhi ya wafuasi wake ambao kimsingi walifurahia sana kitendo cha Gaidi Hamza kuwauwa Askari wetu.
hii inathibitisha kuwa viongozi wa Chadema na baadhi ya wafuasi wao wana kila dalili za kujihusisha na vitendo vya Kigaidi ndio maana walifurahia vitendo vilivyo fanya na Hamza.
ni muhimu sana wafuatiliwe popote pale walipo ktk kila kona ya nchi hii.
tusowafuge wala kuwalea.
nasisitiza tena Jeshi la Polisi kamwe lisivumilie vitendo vya viongozi wa chadema na baadhi ya wafuasi.
 
Hayupo tena ili hata atoe maelezo huru,tena hivyo maelezo yoyote yanamfaa.
 
Si wabambikiaji walishaanza hata kabla hayo kutokea.Hakuna atakae shangaa kwani ni moja ya dhamira za kubambikia.
 
Polisi sio wa kuwaamini kb na wale wa Handeni wanaotaka ngono kwa nguvu nao ni akina nani?
 
Tunaliomba Jeshi la Polisi pia lifuatilie nyenendo za viongozi wa Chadema na baadhi ya wafuasi wake ambao kimsingi walifurahia sana kitendo cha Gaidi Hamza kuwauwa Askari wetu.
hii inathibitisha kuwa viongozi wa Chadema na baadhi ya wafuasi wao wana kila dalili za kujihusisha na vitendo vya Kigaidi ndio maana walifurahia vitendo vilivyo fanywa na Hamza.
ni muhimu sana wafuatiliwe popote pale walipo ktk kila kona ya nchi hii.
tusowafuge wala kuwalea.
nasisitiza tena Jeshi la Polisi kamwe lisivumilie vitendo vya viongozi wa chadema na baadhi ya wafuasi.
 
Sina Mashaka na DCI ila bado najiuliza uliza Gaidi gani anaeua Polisi peke yake, na je wakati anatoa misaada ya kibinadamu mbona hakuitwa gaidi
 
Tatizo ajatoa vielelezo/ushahidi wowote, yaani kama gwajiboy mbele ya kamati ya Bunge! Kwahiyo kama hawakuwa na cha kuieleza jamii wangekaa kimya kwanza!
 
kama ni kweli alikuwa mfanya biashara wa madini kwa uzoefu wangu wengi huwa wanajifunza matumizi ya kutumia silaha sababu ya nature ya kazi yao,pia hawa wenzetu asili ya kisomali wengi wanahobi ya uwindaji
Police wanajidanganya wenyewe kwa sababu wananchi wanajua. Wengi husema wanajitekenya na kucheka wenyewe. Wawaulize wakazi wa Chunya na Upanga wapate ukweli.
 



https://twitter.com/millardayo

“Duniani kote Mtu yoyote mwenye viashiria au tabia za kigaidi target yake kubwa ni Askari awe Askari wa Jeshi, Askari wa Polisi au Askari yoyote na chuki kubwa ya Magaidi ni hawa Watu wa vyombo vya dola na sio mara ya kwanza Askari kuuawa” ———-DCIA Wambura



https://twitter.com/millardayo

“Kumekuwa na mijadala kwamba kwanini Hamza aliwashambulia Askari tu, ni kweli aliwashambulia Askari wa kwanza akachukua silaha zao, akashambulia Traffic akataka kwenda kumshambulia Askari anayelinda Ubalozi wa Ufaransa hakufanikiwa, Gari la Askari pia alilishambulia”——DCI Wambura
 
Na wenyewe polisi waache uonevu, unyanyasaji, rushwa, mauaji ya kiholela ya watuhumiwa, kubambikia watu kesi, kutumiwa na wanasiasa wa ccm, nk. ili na sisi raia wema tuweze kuwaamini kwa 100%!
 
Kwahiyo sasa tuelewe kuwa ndani ya lumumba kuna chuo cha ugaidi?
 
Taarifa hizi zifike kwa mabalozi wote kuwa Tanzania kwasasa ni sehemu hatarishi kwa Ugaidi.
Ndiyo maana mabalozi wa nchi za nje kila ikitajwa kesi ya mh Mbowe wanajitahidi kuwepo mahakamani
 
Huyu hata avue nguo na kuzunguka nchi nzima hakuna atakayemwamini. Labda akamdanganye bosi wake huko
 
Hawa Polisi si wa kuwaamini kabisa.
Huyu Kamanda ni muongo tena uongo wake ni wa kiwango cha Tozo za Tanzania, hivi jamani Gaidi gani ambae hataki kuuwa Raia anataka polisi tu??? Tutizame hao IS walvyo wanataka public ya watu ili wajitoe muhanga na kuwauwa watu wengi, Hamza anaonekana katika video hanaa time kabisa na Raia jambo ambalo magaidi hawalifanya hata siku 1, Polisi wasema ukweli kwanini hakuwabali kwamba baadhi yao wamekuwa si waaminifu na kumdhumu huyo hamza? Mazingira yote yanaonesha hamza alikuwa akilipa kisasi kwa polisi na si kwamba gaidi...tafsiri ya gaidi atupe kamanda kisha aseme upumbavu huu tena. Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…