Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Si muweke mdahalo basi tuweze kuwasoma?

Mbona mbambamba kibaaao?
Muomba mdahalo wa wazi anasema anajulikana na mtu mmoja tu ambaye ni mwanzilishi wa JF. Anasema hiyo inatosheleza nia yake na tamko lake la kudai mdahalo na mtu anayejulikana nchi nzima na ambaye hahitaji kuwa verified na Mwanzilsihi wa JF kwa lolote.
 
Amfuate Maxence kwa PM aombe mdahalo wa private na Makonda ofisini wakiwa watu 3. Siyo kuhadaa jukwaa na upumbavu. Two verified members plus one verifier.
 
Ndo maana nchi haiendelei yaani makonda adili na maswala nyeti ya nchi pamoja na kupata zero form four. hembu kuweni serious enyi chawa wa lumumba
Nimeshangaa sana aloo, yan watu wakianza kuongelea maswala ya “global economy na crisis zake “ Paulo kweli anaweza akacontribute chochote ?

Yan kwenye nchi serious kuna mtu kasema makonda anataka kuchukua hii nchi ? Yan mtu alishindwa kudebate na kina Gwajima tu ataweza kudebate na mtu kama tundu lisu kweli ? Alishindwa magufuli msomi wa Phd ataweza makonda ? .

Kuna siku Kikwete aliwahi kusema ni bora mara mia Mbowe awe rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge. Kimsingi Makonda hawezi ku-debate kwa hoja hata na Chid Benz, yan ihilo nakuhakikishia kabisaa
 
Peleche peleche kibao.

Mleteni jukwaani adebate. Kwani Ngabu ni robot?
 
Peleche peleche kibao.

Mleteni jukwaani adebate. Kwani Ngabu ni robot?
Si ndiyo huyu huyu alianzisha uzi angemchakaza Chalamila kwenye ngumi live huku kafungwa mkono mmoja? Nauliza kwenye jukwaa gani?
 
Makonda kasema anataka mdahalo na viongozi wa chadema, hàjataka mdahalo na wabeba mabox form four failures.
 
Kiswahili hujui na kiingereza hujui, andika kikwenu
 
Hello Nyani. It's been a long time. I like this proposed debate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…