Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mdahalo mtafanya vipi sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdahalo mtafanya vipi sasa?
The choice is his….Written or Oral debate..???
Vyovyote vile atakavyopenda. Maxence Melo anaweza kutusaidia au kutupa mwongozo.Mdahalo mtafanya vipi sasa?
Muomba mdahalo wa wazi anasema anajulikana na mtu mmoja tu ambaye ni mwanzilishi wa JF. Anasema hiyo inatosheleza nia yake na tamko lake la kudai mdahalo na mtu anayejulikana nchi nzima na ambaye hahitaji kuwa verified na Mwanzilsihi wa JF kwa lolote.Si muweke mdahalo basi tuweze kuwasoma?
Mbona mbambamba kibaaao?
Okay.The choice is his….
Nimeshangaa sana aloo, yan watu wakianza kuongelea maswala ya “global economy na crisis zake “ Paulo kweli anaweza akacontribute chochote ?Ndo maana nchi haiendelei yaani makonda adili na maswala nyeti ya nchi pamoja na kupata zero form four. hembu kuweni serious enyi chawa wa lumumba
Peleche peleche kibao.Muomba mdahalo wa wazi anasema anajulikana na mtu mmoja tu ambaye ni mwanzilishi wa JF. Anasema hiyo inatosheleza nia yake na tamko lake la kudai mdahalo na mtu anayejulikana nchi nzima na ambaye hahitaji kuwa verified na Mwanzilsihi wa JF kwa lolote.
Jukwaa gani?Peleche peleche kibao.
Mleteni jukwaani adebate. Kwani Ngabu ni robot?
We msukuma umesemaje hapo?Innallah ma sabireen.
Nomesema al junun funun.We msukuma umesemaje hapo?
Si ndiyo huyu huyu alianzisha uzi angemchakaza Chalamila kwenye ngumi live huku kafungwa mkono mmoja? Nauliza kwenye jukwaa gani?Peleche peleche kibao.
Mleteni jukwaani adebate. Kwani Ngabu ni robot?
Makonda kasema anataka mdahalo na viongozi wa chadema, hàjataka mdahalo na wabeba mabox form four failures.Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global geopolitics, Hamas-Israel war, inflation, recession, weight loss, bbl, 50 years of hip hop, elements of hip hop, Magufuli, Gwajima, n.k.
Mimi niko tayari kufanya mdahalo popote pale, muda wowote ule, kuhusu chochote kile.
I know for a fact I’ll wipe the floor with him.
So what’s up Bashite? Come debate me.
I know you are an empty suit. But since you seem to be so gung-ho about debates, let’s have one. Just me and you, Lincoln - Douglas type of debate.
Bring it Bashite. Just bring it.
When you lose
When you lose control, you lose balance. When you lose balance, you lose reason. When you lose reason, you lose logic. And when you lose logic, you basically lose your moral compass. Enter Paul Makonda or whatever his name is. He has lost all the above. An argument can be made he never had...www.jamiiforums.com
Kuna mdau kaiweka nadhani juu hukoWeka hapa link ya hiyo debate tujikumbushe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nomesema al junun funun.
Kiswahili hujui na kiingereza hujui, andika kikwenuPaul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike.
Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli.
Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global geopolitics, Hamas-Israel war, inflation, recession, weight loss, bbl, 50 years of hip hop, elements of hip hop, Magufuli, Gwajima, n.k.
Mimi niko tayari kufanya mdahalo popote pale, muda wowote ule, kuhusu chochote kile.
I know for a fact I’ll wipe the floor with him.
So what’s up Bashite? Come debate me.
I know you are an empty suit. But since you seem to be so gung-ho about debates, let’s have one. Just me and you, Lincoln - Douglas type of debate.
Bring it Bashite. Just bring it.
When you lose
When you lose control, you lose balance. When you lose balance, you lose reason. When you lose reason, you lose logic. And when you lose logic, you basically lose your moral compass. Enter Paul Makonda or whatever his name is. He has lost all the above. An argument can be made he never had...www.jamiiforums.com
Hey buddy! Long time no see. Happy 2024.Hello Nyani. It's been a long time. I like this proposed debate
Masuala gani anayo deal nayo yeye huyo Makonda??Huna uwezo wa kupambana na Mheshimiwa Makonda Mwamba wa siasa na kiongozi jasiri kusini mwa jangwa la saharaView attachment 2876630View attachment 2876631
Thanks buddyHey buddy! Long time no see. Happy 2024.