Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Ajira inaweza kutumika kukupa mtaji kuanzisha mradi,cha msingi uwe makini katika kusimamia mradi ,tathmini ya Mara kwa mara ni muhimu kubuni njia mbalimbali kukuza mauzo na kuboresha bidhaa,matangazo ya bidhaa bila kuchoka vipeperushi ,business cards,feedback toka kwa wateja na kufanyia kazi maoni,maintain database ya wateja namba za simu,email nk,matumizi ya social media, bonu na offer kwa wateja,ndizo njia ninazo tumia kuzalisha faida ya 250,000/= kwa siku.
Jambo muhimu sana kuliko yote ni kuajiri mtu makini sana meneja wa mradi hakikisha unapata mda wa kutosha kumtathimini andaa machaguo mawili hadi mataa.
Tumia watu wenye elimu ya chini sana,darasa la saba au form 4
Biashara yako ina mtaji wa Tsh million ngapi mkuu?
 
mjadala mzuri lakn wachangiaji wako kwenye zile nyuzi zetu pemdwa za ulishwahi kula tunda kimasiara... huku hawana habar nako..
Hivi ule uzi bdo upo?[emoji1] maana tng nimeblockiwa sijauonaga aisee
 
Ni vile huwajui au sbb nchi yetu ni dhaifu sana kwenye UJASIRIAKAZI, hata UJASIRIAMALI nidhaifu

Nikupe mfano mmoja tu uliza mshahara wa CEO wa Safaricom then utafute matajiri wafanyabiashara wa kitanzania wenye kipato hicho,
Duh hizi mentality ni ngumu sana kutoboa,,naomba nkuulize baada ya yule CEO wa safaricom kufariki..je watoto wake na wao watakuwa wanapata hizo Mil 100 kila mwezi?
 
CEO Safari com mshahara wake kwa mwezi ni Tsh 330 mln ni sawa na Tsh 11 mln kwa kila siku moja
haya sasa ni wafanya biashara wantanzania wana kipato kama hicho ? ni kutoelewa tu HAKUNA TOFAUTI YA KUAJIRIWA NA KUJIAJIRI ni preferences tu

Gideon Muriuki

Gideon Muriuki, CEO Cooperative Bank: He is the highest paid CEO in Kenya. Last year, his annual pay increased to Sh. 376.4 million.7 Ago 2020

Umeamua tu kuchagua upande wako unaoupenda
Huyo ceo huo mishahara ni take home au bado kodi hajakatwa?
Kuna ma Ceo wangapi hapo Kenya wanapokea mishahara wa aina hiyo?
Milioni 11 kwa Siku ni pesa nyingi ila mjini hapa Kuna watu hawahesabiki wanaingiza hiyo pesa kutokana na biashara zao
 
Kama pointi yako ni Wafanyabiashara wangapi wanaweza kutengeneza huo mshahara na mimi nakuuliza Ni waajiriwa wanangapi wanalipwa huo mshahara.

Halafu nenda katembelee Ile kampuni ya Marehemu Patel aliefariki wiki kadhaa zilizopita uone huwa anatengeneza Kiasi gani kwenye kampuni ... Yani milion 300 Wafanyabiashara washindwe kutengeneza kwa mwezi ??!!! Acha dharau
Uko vizuri mkuu,vp ushawahi kuajiriwa?
 
Huo ndio ukweli mchungu, ajiriwa ufe uone familia yako itarithi nini. Na fanya biashara ufe uone familia yako itarithi nini.

Tuongelee kwa muktadha wa mazingira ya kitanzania. Kuna familia kadhaa tunazijua baba au mama walikuwa Ni watumishi wa ajira nzuri ila baada ya vifo vyao familia zimebaki hohe hahe.

Elimu pekee kwa mtoto kwa TANZANIA sio sababu ya yeye kufanikiwa.
Kweli kabisa
 
Huwez tajirika Kwa kuajiriwa , labda uwe mwizi kwenye kampuni au serikalini, sababu mda wako unakuwa limited , hata kama Una mtaji wa kujiajiri na bado umeajiriwa huwez toboa bado...shart uteme kazi ili udili effectively na kujiajiri kwako ....

Changamoto ya kujiajiri ni mtaji na akli timamu , wateja wapo dunia nzima ni wateja wako.. ni wewe Tu kuizungusha akli na kutoboka huku na kule , kitu ambacho huwez fanya ukiwa umeajiriwa , kwenye kuajiriwa utadamka sa 10 kuwahi follen na kurudi home sa nne usku , mpak unakufa what a shit
 
Kuna vitu viwili hapa vipo tofauti kabisa. Kuna WORK na JOB. Mungu alipotuumba aliweka ndani yetu potential ambayo huzaa work. It means kila binadamu anauwezo ndani yake ambao akiutambua unaweza kuwa fulsa ya yeye kupata kipato.

Mifumo ya maisha imetufanya tusijue uwezo wetu ndio maana tunasoma ili tuajiliwe. Hata wazazi wetu husikika wakisema "kazana usome mwanangu uje kuwa na kazi nzuri". Kupitia hili jamii humuheshimu sana aliyesoma na kuajiliwa kuliko yule anayepambana mtaani.

Ushauri wangu ni kwamba hkiajiliwa basi pambana kufanya kazi huku aukifikilia jambo jingine la kufanya nje na ajira. Tumeshuhudia watu wengi wakistafu wanaanza kuishi maisha ya shida kwasababu hakujiandaa alipokuwa kwenye ajira.
 
kwa io kama nimeajiriwa na mm nikaajiri vijana sita wa bajaji je bado sitatajirika??
 
Summary
Kuajiriwa kunafanya waajiriwa waridhike na maisha na kushindwa kufikia level za utajiri

Sijui kama nimepatia mawazo yako
 
Summary
Kuajiriwa kunafanya waajiriwa waridhike na maisha na kushindwa kufikia level za utajiri

Sijui kama nimepatia mawazo yako
Utajiri ni nini, natakiwa kumiliki nini nihesabike kama tajiri!!!???
 
Duh hizi mentality ni ngumu sana kutoboa,,naomba nkuulize baada ya yule CEO wa safaricom kufariki..je watoto wake na wao watakuwa wanapata hizo Mil 100 kila mwezi?
Hawezi kula hiyo pesa yoote na kwa muda wake woote wa ajira, pili kama hujui wakekezaji wengi kwenyw hisa za makampuni ni waajiriwa, bado uwekezaji real estate haubagui mwajiriwa or mwajiri bado haimzuii kuwekeza kwenye biashara kama Frinchase nazo zikaajiri management,

Mhe natamani nikupe namba tuongee, fungua uwelewa wako, kwa taarifa mm sijawahi ajiriwa na ninazo vijikampuni vyangu haviko vibaya, AMINI USIAMINI HAKUNA TOFAUTI
 
kwa io kama nimeajiriwa na mm nikaajiri vijana sita wa bajaji je bado sitatajirika??
Utajirike Kwa bajaji au Hela ya Kula ? Bado katika mazingira hayo kuwamanage hao vijana ni full stress ukiwa kwenye kazi ya kuajiriwa , mana lazima ukimbizane nao non stop ndo utaiona sent....uataambiwa mara bajaji imekamatwa , mara hv na vile na bla bla kibao wakat huo upo job full time ......

Kiufupi Tu Kwa mtu aliyeajiriwa naona biashara kidog inayoweza kumpush ni ununuzi wa hisa pamoja na real estate .... Lakn hzi mishe zinazohtaji kaa chonjo 24hrs ndo utoboe nakuapia huchomoki
 
Nadhan kuna vitu viwili hapa;
1. Kuna wale watu ambao ni efficient wakifanya kazi under someone's supervision. Kwenye biashara huyu hawezi kufanikiwa.
2. Na wale ambao wanasimamia wengne kufanya kazi. Huyu kwenye biashara atafanikiwa.

Kingne tumezaliwa tofauti. Kuna yule ambae ataenda sehemu akakuta watu wana miaka kadhaa pale na hawaoni fursa ila yy ndani ya siku moja au siku kadhaa akaona fursa na akaitumia kufanikiwa. Suala ni how we see.
 
Back
Top Bottom