OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Inawezekana, nothing is impossible.Kujiajiri NACHO KIPAJI.
uanze na elfu 50 uje kuwa milionea yataka moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana, nothing is impossible.Kujiajiri NACHO KIPAJI.
uanze na elfu 50 uje kuwa milionea yataka moyo
Biashara yako ina mtaji wa Tsh million ngapi mkuu?Ajira inaweza kutumika kukupa mtaji kuanzisha mradi,cha msingi uwe makini katika kusimamia mradi ,tathmini ya Mara kwa mara ni muhimu kubuni njia mbalimbali kukuza mauzo na kuboresha bidhaa,matangazo ya bidhaa bila kuchoka vipeperushi ,business cards,feedback toka kwa wateja na kufanyia kazi maoni,maintain database ya wateja namba za simu,email nk,matumizi ya social media, bonu na offer kwa wateja,ndizo njia ninazo tumia kuzalisha faida ya 250,000/= kwa siku.
Jambo muhimu sana kuliko yote ni kuajiri mtu makini sana meneja wa mradi hakikisha unapata mda wa kutosha kumtathimini andaa machaguo mawili hadi mataa.
Tumia watu wenye elimu ya chini sana,darasa la saba au form 4
Vitabu vinavyohusiana na elimu ya fedha.Vitabu vya aina gani kwa mfano
Hivi ule uzi bdo upo?[emoji1] maana tng nimeblockiwa sijauonaga aiseemjadala mzuri lakn wachangiaji wako kwenye zile nyuzi zetu pemdwa za ulishwahi kula tunda kimasiara... huku hawana habar nako..
Duh hizi mentality ni ngumu sana kutoboa,,naomba nkuulize baada ya yule CEO wa safaricom kufariki..je watoto wake na wao watakuwa wanapata hizo Mil 100 kila mwezi?Ni vile huwajui au sbb nchi yetu ni dhaifu sana kwenye UJASIRIAKAZI, hata UJASIRIAMALI nidhaifu
Nikupe mfano mmoja tu uliza mshahara wa CEO wa Safaricom then utafute matajiri wafanyabiashara wa kitanzania wenye kipato hicho,
Umeamua tu kuchagua upande wako unaoupendaCEO Safari com mshahara wake kwa mwezi ni Tsh 330 mln ni sawa na Tsh 11 mln kwa kila siku moja
haya sasa ni wafanya biashara wantanzania wana kipato kama hicho ? ni kutoelewa tu HAKUNA TOFAUTI YA KUAJIRIWA NA KUJIAJIRI ni preferences tu
![]()
Safaricom CEO Bob Collymore's Ksh10m salary shock - Business Today Kenya
Safaricom CEO Bob Collymore's Ksh10m salary shock - Business Today Kenyabusinesstoday.co.ke
Gideon Muriuki
Gideon Muriuki, CEO Cooperative Bank: He is the highest paid CEO in Kenya. Last year, his annual pay increased to Sh. 376.4 million.7 Ago 2020
Opera News - Neuesten Nachrichten In Germany-German | Aktuelle Nachrichten
Neuesten Germany-German Nachrichten auf OperaNewsApp.com bekommen: Aktuelle Nachrichten und Videos in Germany-German , Fußballnachrichten, Politik, Sport, Unterhaltung, Technik, Handel.ke.opera.news
Uko vizuri mkuu,vp ushawahi kuajiriwa?Kama pointi yako ni Wafanyabiashara wangapi wanaweza kutengeneza huo mshahara na mimi nakuuliza Ni waajiriwa wanangapi wanalipwa huo mshahara.
Halafu nenda katembelee Ile kampuni ya Marehemu Patel aliefariki wiki kadhaa zilizopita uone huwa anatengeneza Kiasi gani kwenye kampuni ... Yani milion 300 Wafanyabiashara washindwe kutengeneza kwa mwezi ??!!! Acha dharau
nilianza na mtaji wa 5,000,0000/=Biashara yako ina mtaji wa Tsh million ngapi mkuu?
Kweli kabisaHuo ndio ukweli mchungu, ajiriwa ufe uone familia yako itarithi nini. Na fanya biashara ufe uone familia yako itarithi nini.
Tuongelee kwa muktadha wa mazingira ya kitanzania. Kuna familia kadhaa tunazijua baba au mama walikuwa Ni watumishi wa ajira nzuri ila baada ya vifo vyao familia zimebaki hohe hahe.
Elimu pekee kwa mtoto kwa TANZANIA sio sababu ya yeye kufanikiwa.
Inawezekana, nothing is impossible.
kwa io kama nimeajiriwa na mm nikaajiri vijana sita wa bajaji je bado sitatajirika??Huwez tajirika Kwa kuajiriwa , labda uwe mwizi kwenye kampuni au serikalini, sababu mda wako unakuwa limited , hata kama Una mtaji wa kujiajiri na bado umeajiriwa huwez toboa bado...shart uteme kazi ili udili effectively na kujiajiri kwako ....
Changamoto ya kujiajiri ni mtaji na akli timamu , wateja wapo dunia nzima ni wateja wako.. ni wewe Tu kuizungusha akli na kutoboka huku na kule , kitu ambacho huwez fanya ukiwa umeajiriwa , kwenye kuajiriwa utadamka sa 10 kuwahi follen na kurudi home sa nne usku , mpak unakufa what a shit
SummaryKuna vitu viwili hapa vipo tofauti kabisa. Kuna WORK na JOB. Mungu alipotuumba aliweka ndani yetu potential ambayo huzaa work. It means kila binadamu anauwezo ndani yake ambao akiutambua unaweza kuwa fulsa ya yeye kupata kipato.
Mifumo ya maisha imetufanya tusijue uwezo wetu ndio maana tunasoma ili tuajiliwe. Hata wazazi wetu husikika wakisema "kazana usome mwanangu uje kuwa na kazi nzuri". Kupitia hili jamii humuheshimu sana aliyesoma na kuajiliwa kuliko yule anayepambana mtaani.
Ushauri wangu ni kwamba hkiajiliwa basi pambana kufanya kazi huku aukifikilia jambo jingine la kufanya nje na ajira. Tumeshuhudia watu wengi wakistafu wanaanza kuishi maisha ya shida kwasababu hakujiandaa alipokuwa kwenye ajira.
Utajiri ni nini, natakiwa kumiliki nini nihesabike kama tajiri!!!???Summary
Kuajiriwa kunafanya waajiriwa waridhike na maisha na kushindwa kufikia level za utajiri
Sijui kama nimepatia mawazo yako
Hawezi kula hiyo pesa yoote na kwa muda wake woote wa ajira, pili kama hujui wakekezaji wengi kwenyw hisa za makampuni ni waajiriwa, bado uwekezaji real estate haubagui mwajiriwa or mwajiri bado haimzuii kuwekeza kwenye biashara kama Frinchase nazo zikaajiri management,Duh hizi mentality ni ngumu sana kutoboa,,naomba nkuulize baada ya yule CEO wa safaricom kufariki..je watoto wake na wao watakuwa wanapata hizo Mil 100 kila mwezi?
GratitudeMimi naamini dunia hii ina siri za mafanikio na endapo tukizijua siri hizo basi tunatoboa
Utajirike Kwa bajaji au Hela ya Kula ? Bado katika mazingira hayo kuwamanage hao vijana ni full stress ukiwa kwenye kazi ya kuajiriwa , mana lazima ukimbizane nao non stop ndo utaiona sent....uataambiwa mara bajaji imekamatwa , mara hv na vile na bla bla kibao wakat huo upo job full time ......kwa io kama nimeajiriwa na mm nikaajiri vijana sita wa bajaji je bado sitatajirika??
Yes mkuuSummary
Kuajiriwa kunafanya waajiriwa waridhike na maisha na kushindwa kufikia level za utajiri
Sijui kama nimepatia mawazo yako