Umekuwa mwongo kupindukia.U.S.A, Canada, Ulaya hawa maendeleo yao kwa kiasi kikubwa yamechagizwa na shughuli za ukoloni na utumwa na nafikiri wafahamu yale watumwa waliyokuwa wakitendewa ni kinyume kabisa na vitabuni demokrasia inavyo elekeza.
Udikteta ni laana. Huwezi kupata maendeleo kwa kuwategemea madikteta. Ili maendeleo yapatikane unahitaji ushiriki mkamilifu wa umma katika shughuli za kiuchumi. Utawala ni regulator tu. Udikteta unaua morali ya ushiriki wa umma katika ujenzi wa uchumi. Udikteta unaua mchango wa mawazo, mipango na usimamizi kutoka kwa wananchi, na hivyo kutegemea fikra za mtu mmoja ambaye kwa vyovyote, hana uwezo kuuzidi umma wote.Ulaya yote nchi za EU zimeendelea. Zipo karibu 30. Kule USA zote zilizoendelea ni za kidemokrasia.
Angalia Russia na utajiri wote ule waliko. Wanazidiwa maendeleo na nchi ndogo walizozitawala kama Poland.
Nenda kule Asia ya Japan, Taiwan, Hongkong , Malaysia nk.
Ndiyo maana wakati wa udikteta zilikuwa duni kama ilivyo North Korea mpaka leo.Hizo nchi za Asia zimepita katika historia ya kutisha ya madikteta katika historia ya nchi zao
Naunga mkono hoja hii ..Africa yatupasa kuja na mifumo yetu ya kiungozi na kiutawala ambayo inaendana na jamii zetu.
Hata tulipokuwa watoto tulikuwa tunafokewa na mara nyingine kuchapwa na wazazi wetu ili tuwe watoto waadilifu !Naomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
Argument yako ni baseless. Kama udikteta unaleta maendeleo, basi nchi zilizodumu kwenye udikteta miaka yote ndiyo zingekuwa na maendeleo makubwa kuyazidi mataifa yote.Taiwan ilikuwa chini ya udikteta wa KMT chini ya Chiang Kai-Shek na mwanae kwa miongo mingi tu. Korea kusini iliweza pita mikono ya military dictatorship, Japan imefanya udikteta wa kifalme ndani na nje ya mipaka yake wakati wa mchakato wake wa maendeleo kuhusu Hongkong ilikuwa mikononi ya ukoloni wa Uingereza
usa pekee ndio imepiga hatua kwa demokrasiaNaomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
Usa na Canada kamwe hazijawahi kuitawala nchi yeyote Ile duniani. Ulaya nchi zao bado zingine ni kingdomsU.S.A, Canada, Ulaya hawa maendeleo yao kwa kiasi kikubwa yamechagizwa na shughuli za ukoloni na utumwa na nafikiri wafahamu yale watumwa waliyokuwa wakitendewa ni kinyume kabisa na vitabuni demokrasia inavyo elekeza.
na huu ndio ukweli...dunia hii ina wenyewe ukiwagusa hao wenyewe ndio utajua kama kuna democracy au akuna...ila haki na waambia hakuna democracy....!
Singapore. Ilifanikiwa na kiobgozi wake aliitwa dikteta.Title imetoa conclusion, content inatuuliza kutoa proof.
Nadhani ungefanya tu research mkuu kabla ya kuanzisha thread ili at lease uongeze nyama
Hizi nchi zote zilidaidika na wizi wa rasilimali kutoka afrika na faida kubwa ya mikataba ya kinyonyaji iliyopatikana baada ya nchi kubwa duniani kufaidika na kusaidia nchi nyengine kwa masharti nafuuDenmark Canada Sweden Finland Norway alimfanyia nani utumwa akawa na maendeleo.
Achana na chuki za panafricanist wameandika chuki nyingi kuliko ukweli halisi
USSR ilikuwa duni sana kwenye human development index na hata kwenye GDP per capita. Kidogo kilichopatikana kiliishia tu kwenye kutengeneza silaha, sawa na ilivyo leo North Korea.Soviet Union ilikuwa imeendelea na kuwa taifa kubwa na kuzalisha vita baridi kati yake na marekani
Raslimali walizopora hata robo hazifikii zilizobakia Africa.Hizi nchi zote zilidaidika na wizi wa rasilimali kutoka afrika na faida kubwa ya mikataba ya kinyonyaji iliyopatikana baada ya nchi kubwa duniani kufaidika na kusaidia nchi nyengine kwa masharti nafuu
Elimu yangu ndogo kabisa ya historia Japan kamtawala China miaka kibao kajichotea resources za kutosha.Umekuwa mwongo kupindukia.
Niambie nchi kama Norway, Finland, Sweden, Singapore, Malaysia, Switzerland, Denmark, Australia, Japan, yalimfanyia utumwa au ukoloni nchi gani?
Hii ndo ingekuwa hoja ya kujadiliPia lazima tufahamu kati ya democracy na dictatorship kipi kianze. Nchi za magharibi zilianza na udikteta baada ya kupiga hatua katika nyanja za maendeleo na ustaharabu Wakashift kwenda Kwenye democracy.
Africa ni vice versa tumeanza na democracy 🤣🤣
Hakuna democracy kwenye jamii masikini na isiyostaharabika.
Misingi ya German ya Leo ilijengwa na Adolph Hitler.
Nchi karibu zote za kiafrika baada ya uhuru zilingia katika mfumo wa kidikteta isipokuwa afrka kusini na Botswana. Na zote zimekuwa na maendeleo duni isipokuwa Botswana na south Africa.Pia lazima tufahamu kati ya democracy na dictatorship kipi kianze. Nchi za magharibi zilianza na udikteta baada ya kupiga hatua katika nyanja za maendeleo na ustaharabu Wakashift kwenda Kwenye democracy.
Africa ni vice versa tumeanza na democracy 🤣🤣
Hakuna democracy kwenye jamii masikini na isiyostaharabika.
Misingi ya German ya Leo ilijengwa na Adolph Hitler.
SahihiNchi karibu zote za kiafrika baada ya uhuru zilingia katika mfumo wa kidikteta isipokuwa afrka kusini na Botswana. Na zote zimekuwa na maendeleo duni isipokuwa Botswana na south Africa.
Katazame ulichoandika kama kina alama ya kuuliza, kisha uje tuendelee na mjadala.Duuh! Changamoto. hebu soma swali tena halafu rudia kusoma ulicho jibu