mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,419
Huyu Bibi huyu!anataka watz tuuzwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana hili li ncha Kwakweli [emoji24]Sioni future ya Tanzania.
Ni nchi inaenda aimlessly mradi ipo kwenye ramani.
Inamaana inchi inaongozwa kwa kukopa sasa isee..mbona deni linapaa sana..Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni deni la nje, huku deni la ndani likiwa ni TZS trilioni 26.6.
Swahili Times
Hii nchi ni masikini jamani hata wewe ukapewa uwaziri wa fedha au urais sahivi utakopa tu.Waje watubake tuu mana hy pesa
Ishu sio kumshauri vizuri ishu ni kwamba hao waliomzunguka they are not intelligent enough wamepewa nafasi kwa connection, uchawa na unafiki tu. Watu kama nape, january, ridhiwani they are nothing kichwani wapo pale kutokana na majina tu ya baba zao chamani angalia mtu kama mwigulu ni bashite fulani tu cha kushangaza ndo anashikilia nafasi nyeti zaidi. Mfumo wetu wa kupata viongozi ni dhaifu sana
Deni la ndani ni Bonds za BOTnifahamishe... Deni la ndani linatokana na nini?????? au ni ndani ya Africa au Ndani ya Tanzania???? na kama ni ndani ya Tanzania How? Jamani mimi poyoyo wa elimu ya uchumi nielimishwe
Ungemfafanulia kwa lugha rahisi maana hata bonds za BOT sidhani km atajua unamaanisha niniDeni la ndani ni Bonds za BOT
Ndo shida ya kukimbia hesabu.Kutokana na deni la Taifa kuwa Shilingi Trilioni 91.03. Kila M-Tanzania anadaiwa Shilingi Billioni 1 na Millioni 500 Haya Wa-Tanzania tuchange kila mmoja wetu ili tupate kulipa Deni la Taifa. Mwenye kuwa na Ng'ombe,Mbuzi,nyumba mashamba na Vitu vingine auze ili tupate kulipa deni la Taifa letu Serikali ya CCM imeshindwa kulipa hayo madeni kila mwezi Madeni yanazidi kuongezeka kazi kweli ipo. Serikali ya CCM inakopa kila kukicha na pesa hazijulikani zinakwenda wapi? Lohh Majangaa makubwa nchi yetu itauzwa mpaka na Wananchi wake watauzwa kwa wingi wa madeni tunayo kopa kila kukicha.
Kuna mamna nyingi ya kupunguza makali ila tuna viongozi ambao hawana upeo., fikiria nchi haina vifaa vya uokoaji ila kila mwaka wizara zinapitisha bajeti ya kununua magari ya milioni 500, waziri analuka na helikopta nchi nzima kufanya kazi ambayo ingewezekana kufanywa na wajumbe wa nyumba 10 hivi unajua gharama za kurusha helikopta angani kwa saa moja tu achilia mbali posho na gharama zingine za msafara wa waziriHii nchi ni masikini jamani hata wewe ukapewa uwaziri wa fedha au urais sahivi utakopa tu.
Hii nchi wananchi wengi vipato ni vidogo sana na tunaishi maisha ya kudunduliza kiasi serikali inashidwa hata kukusanya kodi maana hakuna cha kuchukua.
Na wananchi wenyewe wanalawama balaaa..
Ukiona picha ya Mwigulu tu, ujue anasaini mkopo.Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni deni la nje,
Swahili
Ukiona picha ya Mwigulu tu, ujue anasaini mkopo.