Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42

Hiv nyie mna uchungu na hii nchi, kama hii taarifa ni kweli somebody must go
 
Hivi kupanda au kushuka hakuzingatii na thamani ya dollar dhidi ya shilingi kwa wakati husika???....maana kama shilingi imeshuka dhidi ya dollar lazima deni nalo li skyrocket...najaribu kuwaza tu
Ukitaka unaweza kupata hivyo viwango in USD at the then prevailing exchange rates, hapo unapata trends na respective comparisons
 
Kweli vita vya Kagera vilituacha na madeni mengi na ndicho chanzo cha kuporomoka kwa uchumi.
Wakati wa WWII Hata Ujerumani na Japani zilipigwa na kuporomoshwa uchumi wao to zero. Leo they are the 3rd and 4th Greatest word economies. So Kagera isiwe kisingizio na acha kufanya masihala kwa mambo mazito kama haya. Ugdnada yenyewe ambako vichapo vilifanyika leo wako vuzuri na wanakua.
 
Deni haliangaliwi kwa amount,

Deni Lina linatathminiwa kwa percentage ya GDP.

I mean GDP inapokuwa then uwezo wa kukopa unaongezeka, na uwezo wa kulipa deni pia unaongezeka

Mwalimu wa shule ya msingi hawezi kukopa the same amount na daktari, wala daktari hawezi kukopa the same amount na mkurugenzi wa mashirika, na wakurugenzi wa mashirika hawawezi kukopa the same amount na wabunge.

Kwa kifupi, ukiingia bank, na unaenda dirishani ujue uwezo mdogo, ila ukiona huduma zako zinakuwa handled na branch manager au bulk payments ujue mambo yako mazuri na bank itakukopesha kwa kila unachotaka
 
Kwanini haya madeni hayapungui ikiwa pamoja na kuongeza madeni lakini pia tunalipa hawa wenzetu wametufanya kitega uchumi chao wao wamebanavsehemu na fedha zao wanatusubiri tuminyane na TRA humu nchini mwetu kishs wanakuja kuzikomba fedha zote kijanja janja. Sikuhizi hakuna sababu ya kwenda kwenye nchi ya watu na kumkalia kimabavu watu wanatutawala kiakili na kifikra. Wakiona uchumi wako unakwenda vizuri wanatafuta watu wanawarubuni kwenye nchi yako wanakuletea limradi halina kichwa wala mguu halafu wanakuambia usiwe na wasiwasi tutakupa mkopo wa masharti nafuu.
 
Deni letu ni himilivu. By Mr. Tozo
 
Huyu mama hayo matrillion kayapeleka wapi wakati hakuna analofanya?

Huyu mama ana mpango ovu dhidi ya Tanganyika
 

I am not shielding Samia, in fact I don't like her.

So don't even go there.

I am merely being objective and empirical.

Hizi hela ziwekwe katika US dollars, hela za kimataifa, halafu ziwe inflation adjusted.

Shilingi moja aliyokopa Nyerere 1965 ni sawa na shilingi ngapi za leo?

Dola moja aliyokopa Nyerere 1965 ni sawa na dola ngapi za leo?

Mnajua kuna inflation, devaluation, etc, right?

Pia, sehemu gani ya kukua kwa deni sasa kunatokana na kulipa riba ya madeni ya zamani?
 
Hizo zote amekopa alafu amefanyia nini? Au ndo anatumia kula bata? Naskia Abdul kanunua apartment kibao USA
Huyu mtu ni shida na serikali ina madeni endelevu ya wazabuni kila mwezi wazabuni wanabwaga manyanga sababu hawalipwi
 
Kumbe ndiyo maana hao waliotangulia wametuwachia nchi masikini.
 
Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?

Tangu maandamo yafeli mnahasira sana na Mama๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kwamba kwa sababu watangulizi wake walivulunda basi ni sahihi tu na yeye kuvulunda?

Akili huna wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ