The Last Man Standing
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 475
- 525
Uliza sawli linaloendana na mada. Kwani nyie mmeishalipa hata robo yake?Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?
Tangu maandamo yafeli mnahasira sana na Mama😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza sawli linaloendana na mada. Kwani nyie mmeishalipa hata robo yake?Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?
Tangu maandamo yafeli mnahasira sana na Mama😆😆
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!Tunaangalia mstakabali wa taifa kuhusu deni wewe unazungumzia maandamano.
Hiv nyie mna uchungu na hii nchi, kama hii taarifa ni kweli somebody must goKwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Ukitaka unaweza kupata hivyo viwango in USD at the then prevailing exchange rates, hapo unapata trends na respective comparisonsHivi kupanda au kushuka hakuzingatii na thamani ya dollar dhidi ya shilingi kwa wakati husika???....maana kama shilingi imeshuka dhidi ya dollar lazima deni nalo li skyrocket...najaribu kuwaza tu
Hapana tatizo tunakopa hatulipi deni linapaaa lina tu athiri kiukweli deni basi tu.Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?
Tangu maandamo yafeli mnahasira sana na Mama😆😆
Wakati wa WWII Hata Ujerumani na Japani zilipigwa na kuporomoshwa uchumi wao to zero. Leo they are the 3rd and 4th Greatest word economies. So Kagera isiwe kisingizio na acha kufanya masihala kwa mambo mazito kama haya. Ugdnada yenyewe ambako vichapo vilifanyika leo wako vuzuri na wanakua.Kweli vita vya Kagera vilituacha na madeni mengi na ndicho chanzo cha kuporomoka kwa uchumi.
Kwani Mh Ndugai yeye anasema je?Hapana tatizo tunakopa hatulipi deni linapaaa lina tu athiri kiukweli deni basi tu.
Kwanini haya madeni hayapungui ikiwa pamoja na kuongeza madeni lakini pia tunalipa hawa wenzetu wametufanya kitega uchumi chao wao wamebanavsehemu na fedha zao wanatusubiri tuminyane na TRA humu nchini mwetu kishs wanakuja kuzikomba fedha zote kijanja janja. Sikuhizi hakuna sababu ya kwenda kwenye nchi ya watu na kumkalia kimabavu watu wanatutawala kiakili na kifikra. Wakiona uchumi wako unakwenda vizuri wanatafuta watu wanawarubuni kwenye nchi yako wanakuletea limradi halina kichwa wala mguu halafu wanakuambia usiwe na wasiwasi tutakupa mkopo wa masharti nafuu.Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Deni letu ni himilivu. By Mr. TozoWakati wa WWII Hata Ujerumani na Japani zilipigwa na kuporomoshwa uchumi wao to zero. Leo they are the 3rd and 4th Greatest word economies. So Kagera isiwe kisingizio na acha kufanya masihala kwa mambo mazito kama haya. Ugdnada yenyewe ambako vichapo vilifanyika leo wako vuzuri na wanakua.
Ndugai yeye kazibwa mdomo anasubiri siku ya mnada.Kwani Mh Ndugai yeye anasema je?
Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Huyu mtu ni shida na serikali ina madeni endelevu ya wazabuni kila mwezi wazabuni wanabwaga manyanga sababu hawalipwiHizo zote amekopa alafu amefanyia nini? Au ndo anatumia kula bata? Naskia Abdul kanunua apartment kibao USA
Kumbe ndiyo maana hao waliotangulia wametuwachia nchi masikini.Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Likiwa kubwa na service yake inakuwa kubwaHapana tatizo tunakopa hatulipi deni linapaaa lina tu athiri kiukweli deni basi tu.
Kwamba kwa sababu watangulizi wake walivulunda basi ni sahihi tu na yeye kuvulunda?Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?