We una hoja ya kijinga xnaa ila wasiojielewa watakupa supportKwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Mbaya zaidi anakopa kwenda kujenga Zanzibar, deni tutaachiwa sisi wajinga wa baraKwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
We una hoja ya kijinga xnaa ila wasiojielewa watakupa supportKwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Zanzibar umesikia sahivi wanalalamika kero za muungano?Sehemu ya mkopp inastawisha Kizim.....
Zanzibar iko Tanzania acha ujingaMbaya zaidi anakopa kwenda kujenga Zanzibar, deni tutaachiwa sisi wajinga wa bara
Wazanzibar mbona wameacha kulalamika kero za muungano au zimeisha?Za Ma as Abdul tuuui anapiga sanaaa.....kununua wapinzaniii
Peleka ujinga wako huko, nenda Zanzibar ukaombe kitambulisho cha mkazi au ununue ardhi kwao kama ipo Tanzania tuone.Zanzibar iko Tanzania acha ujinga
Deni la Taifa linakua kwa kasi kubwa. Je fedha hizo zinatumika zote kwa miradi ya umma au zingine zinaishia mikononi mwa watu binafsi kifisadi?Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Kwanza watu wengi hamuelewi mantiki ya deni la Taifa mnakurupuka tuu.Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Yale yale ya Mr. Tozo eti huwezi kugongewa mlango kudaiwa deni la taifa, hujui athari za deni likiwa kubwa.Kwanza watu wengi hamuelewi mantiki ya deni la Taifa mnakurupuka tuu.
Mfano mwaka 2022 , Serikali ilipookea Mkopo wa dola.mil.500 kutoka India ,pesa ambayo ilisainiwa mwaka 2018.
Sasa Mkopo huu uko hivyo Kwa maeneo mengi tuu mfano wa pili Kuna ujenzi wa miradi ya Viwanja vya ndege Kwa utadhani wa Umoja wa Ulaya,pesa imetolewa mwaka Jana lakini ilisainiwa 2019.
Tatu Mkopo Huwa inaongezeka Kwa sababu za kushuka thamani ya Shilingi vs Dola ,na hii Kwa Tzn imeongezwa zaidi ya Trilioni 8 kwenye deni Jumla (riba tuu Wala sio Mkopo Mpya) sawa na mikopo ya mwaka mzima ambayo Serikali huchukua.
Mwisho Mkopo Wala hakuna shida na napendekeza Serikali iendelee kutafuta na kuchukua mikopo mipya Kwa Ajili ya miradi ya Kimkakati so long as inatumika Kwa malengo kususiwa.
Uchumi Wetu ni Dola $85 sawa na zaidi ya Trilioni 180 yaani mara 2 ya Mkopo so hakuna shida au Kuna mtu amewahi pata shida Kwa sababu deni ni Trilioni 99?
Mkuu hii mikopo Kuna namna tunapigwa kama ikifanyika forensic audit hapa tutabaki midomo wazi.I am not shielding Samia, in fact I don't like her.
So don't even go there.
I am merely being objective and empirical.
Hizi hela ziwekwe katika US dollars, hela za kimataifa, halafu ziwe inflation adjusted.
Shilingi moja aliyokopa Nyerere 1965 ni sawa na shilingi ngapi za leo?
Dola moja aliyokopa Nyerere 1965 ni sawa na dola ngapi za leo?
Mnajua kuna inflation, devaluation, etc, right?
Pia, sehemu gani ya kukua kwa deni sasa kunatokana na kulipa riba ya madeni ya zamani?
Sijasema hatupigwi.Mkuu hii mikopo Kuna namna tunapigwa kama ikifanyika forensic audit hapa tutabaki midomo wazi.
Kenya Kuna mfanyabiashara anawindwa na Ruto usiku na mchana kwasababu amewasanua Wakenya jinsi walivyopigwa pesa za mikopo na Wakina Ruto na Uhuru;Kuna pesa wanazidisha kwenye mkopo ambazo hazikutakiwa zikopwe!
Huwezi amini za kwetu zote zimechukuliwa na dada yako alipokuja kudanga.Labda kama katumwa azichukue nyumbani kwenu
Alivyozuia maandamano akiwatumia policcm ndio deni limeshuka?Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?
Tangu maandamo yafeli mnahasira sana na Mama😆😆
Bado tunakopesheka.Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
View attachment 3109180
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Acha ulongo mkuuTekinikali ,aliachiwa miradi mingi mikubwa ambayo haikuisha