Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42

Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.

Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.

View attachment 3109180

Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.

Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.

Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
We una hoja ya kijinga xnaa ila wasiojielewa watakupa support
Kwanza umesehau thaman ya pesa ya zamani si sasa na sasa
Pili maitaji kila siku yanaendelea kuongezeka
Tatu watu pia wanaongezeka
 
Mbaya zaidi anakopa kwenda kujenga Zanzibar, deni tutaachiwa sisi wajinga wa bara
 
Deni la Taifa linakua kwa kasi kubwa. Je fedha hizo zinatumika zote kwa miradi ya umma au zingine zinaishia mikononi mwa watu binafsi kifisadi?
 
Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.

Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.

View attachment 3109180

Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.

Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.

Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Kwanza watu wengi hamuelewi mantiki ya deni la Taifa mnakurupuka tuu.

Mfano mwaka 2022 , Serikali ilipookea Mkopo wa dola.mil.500 kutoka India ,pesa ambayo ilisainiwa mwaka 2018.

Sasa Mkopo huu uko hivyo Kwa maeneo mengi tuu mfano wa pili Kuna ujenzi wa miradi ya Viwanja vya ndege Kwa utadhani wa Umoja wa Ulaya,pesa imetolewa mwaka Jana lakini ilisainiwa 2019.

Tatu Mkopo Huwa inaongezeka Kwa sababu za kushuka thamani ya Shilingi vs Dola ,na hii Kwa Tzn imeongezwa zaidi ya Trilioni 8 kwenye deni Jumla (riba tuu Wala sio Mkopo Mpya) sawa na mikopo ya mwaka mzima ambayo Serikali huchukua.

Mwisho Mkopo Wala hakuna shida na napendekeza Serikali iendelee kutafuta na kuchukua mikopo mipya Kwa Ajili ya miradi ya Kimkakati so long as inatumika Kwa malengo kususiwa.

Uchumi Wetu ni Dola $85 sawa na zaidi ya Trilioni 180 yaani mara 2 ya Mkopo so hakuna shida au Kuna mtu amewahi pata shida Kwa sababu deni ni Trilioni 99?
 
Yale yale ya Mr. Tozo eti huwezi kugongewa mlango kudaiwa deni la taifa, hujui athari za deni likiwa kubwa.
 
I am not shielding Samia, in fact I don't like her.

So don't even go there.

I am merely being objective and empirical.

Hizi hela ziwekwe katika US dollars, hela za kimataifa, halafu ziwe inflation adjusted.

Shilingi moja aliyokopa Nyerere 1965 ni sawa na shilingi ngapi za leo?

Dola moja aliyokopa Nyerere 1965 ni sawa na dola ngapi za leo?

Mnajua kuna inflation, devaluation, etc, right?

Pia, sehemu gani ya kukua kwa deni sasa kunatokana na kulipa riba ya madeni ya zamani?
Mkuu hii mikopo Kuna namna tunapigwa kama ikifanyika forensic audit hapa tutabaki midomo wazi.
Kenya Kuna mfanyabiashara anawindwa na Ruto usiku na mchana kwasababu amewasanua Wakenya jinsi walivyopigwa pesa za mikopo na Wakina Ruto na Uhuru;Kuna pesa wanazidisha kwenye mkopo ambazo hazikutakiwa zikopwe!
 
Sijasema hatupigwi.

Nimesema kulinganisha mikopo ya nyuma na ya karibuni bila hesabu za inflation adjustment na interest servicing burden ni ngumu kueleweka, inabidi hesabu hizo zifanyike.

Tatizo most people here are innumerates.
 
Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?

Tangu maandamo yafeli mnahasira sana na Mama😆😆
Alivyozuia maandamano akiwatumia policcm ndio deni limeshuka?
IMG_20240819_200007.jpg
 
Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.

Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.

View attachment 3109180

Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.

Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.

Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".
Bado tunakopesheka.
 
Kumbuka Nyerere anachukua nchi dola ilikuwa sawa na Tsh 7.
Mwinyi aliikuta dola sawa na Tsh 18
Mkapa akaikuta dola sawa na Tsh 500
Kikwete akaikuta dola ni sawa na Tsh 1000
Magu kaikuta dola ni Tsh 1600.
Mama Kaikuta dola Tsh 2300.

Hapo bado hujazungumzia inflation rates. CHADEMA inabidi mfundishwe mambo madogo madogo kwa sababu akili mmemkabidhi Mbowe.
 
Tekinikali ,aliachiwa miradi mingi mikubwa ambayo haikuisha
Acha ulongo mkuu

Samia kinachomtesa ni kuruhusu wizi na ufisadi

Ajaribu kusimamia fedha anazozipata uone iwapo atakopa kwa wingi namna ile

Embu chukua hiyo mikopo yote T 49 halafu kusanya miradi yote uipe thamani iwapo inafikia pesa hizo zote

JPM alijitahidi kusimamia fedha kuhakikisha kiasi kikubwa cha fedha kinafanya kazi iliyokusudiwa
 
Back
Top Bottom