DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yes nadhani vijana kama nyie mmeanza mfatilia kisandu kipindi amepata hiyo shida ya akiliKuna wakati alidai asili yake yeye ni USA sio mbongo na akaandaa Uzi mrefu wenye hoja tetezi na akakataa asili ya kwao.
Alishajaribu kuwa mwanamuziki , video na nyimbo zake ni vichekesho halafu jamaa alikuwa siriaz anajiona bonge la msanii
Shule inaitwa MkolaniSawa niambie shule alofundisha mwanza na ni mwaka gani? Napenda kutafuniwa
Inaweza kuwa ID yake maana Uzi wa pili naona anaandika kuhusu KisanduBora umerudi
JF ilipoa sana
Ewaaaaaa utambulisho umekamilika kabisa 🙂Huyu anaitwa mwalimu Deogratias Nalimi Kisandu, Don Nalimison, Civilian coin, Asubuhi news, mkwe wa Obama
Kabla ya civilian coin, kuna jina ulijiita mpaka ukaliandikisha kisheria nimelisahau?Civilian Coin ametangaza rasmi kuoa Binti mbichi(mwanamke aliye bikira), kwa maelezo yake ni kuwa yeye hajawahi kuwa na Mahusiano na mwanamke bikira na hivyo hatooa mpaka apate mwamke bikira. Moja ya post zake FB hapo Chini.
Watawala wenyewe wana matatizo ya akili.Ilikuaje serikali imemuweka jela two times ikiwa wanajua huyu mtaalam wa hesabu na mwanasiasa nguli alipata mental health issue
Echolima huyo Mzee.Ndio nan huyo? Mbona amekaa kama anakunywa gongo?
SimfahamuEcholima huyo Mzee.
SAYNGAY
Siyo kweli deo kisandu ni msomi na alikuwa mwalimu wa secondary pale mkolani na ana masters kama sikosei huyu nyangwisi maghayo hata la saba hajafika
Ahahaaaa jamaa anajionaga genius level za akina martin LutherKuna wakati alidai asili yake yeye ni USA sio mbongo na akaandaa Uzi mrefu wenye hoja tetezi na akakataa asili ya kwao.
Alishajaribu kuwa mwanamuziki , video na nyimbo zake ni vichekesho halafu jamaa alikuwa siriaz anajiona bonge la msanii
Alikuwa mwalimu wa shule ya secondary mkolaniSawa niambie shule alofundisha mwanza na ni mwaka gani? Napenda kutafuniwa
Kweli nimekumbuka Nyangwisi loose Nut ana picha ya shule ya msingi ana ienzi kinoma sababu ndio levo pekee ya elimu aliyofika kabla ya kuanza kuvuta bange na kufanya fujo mtaani mpaka wakamchangia nauli kumpeleka Mamtoni ili asilete maafa zaidi mtaaniSiyo kweli deo kisandu ni msomi na alikuwa mwalimu wa secondary pale mkolani na ana masters kama sikosei huyu nyangwisi maghayo hata la saba hajafika
Sema tu dishi la deo nazan limeyumba na ashawahi kuwa kiongozi mkubwa chadema
Duhh dunia ina mengi! Na mkolani iko vzr pia.. so sahivi ni nani?Alikuwa mwalimu wa shule ya secondary mkolani
Siyo mtu poa poa basi ni maisha tu ni level za hawa akina john mnyika na kina john heche na huenda hata kujenga hoja anaweza kuwazidi
Bas MUNGU ndiye anayejua
Ashawahi kutuma posa kwa Barak Obama amuoe maria sema hakupewa jibu
Ilikuwaje akapata mental issue?Ana CV kubwa sana ni vile ana mental issue kwa Sasa.
Katoka kufungwa jela nazan kama miezi miwili iliyopitaDuhh dubia ina mengi! Na mkolani iko vzr pia.. so sahivi ni nani?