Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

Hahahahaha
 
Ndio nan huyo? Mbona amekaa kama anakunywa gongo?
Bro utakuwa mgeni humu
Ndiyo huyu aliwahi kuepelekwa mahakamani akidaiwa matunzo ya watoto.akatoa utetezi kwamba mimba sio zake sababu ana kibami@ hawezi kutungisha.
Jamaa msumbufu sana na alishawahi kifungwa uyu katusumbua sana hapa JF
Bora umerudi
JF ilipoa sana
JF iinakuwaga na watu wake kina mpwayungu village na hawa kina kisandu sijui wanapoteleaga wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…