Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

Mkishauriwa msipigenyeto kabla ya safari mnatuona
 
Msigwa kama msigwa[emoji23]

Ninavyopenda superfeo/selous[emoji23][emoji23][emoji23]tutakufa
Na mtakufa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tangu nipate habari zake za kununua kafara, sitaki mie.
Napanda new force na tavavili.
 
Na mtakufa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tangu nipate habari zake za kununua kafara, sitaki mie.
Napanda new force na tavavili.
Naomba nieleweshe vizuri,ananunuaje kafara?mana mi najua watu ndio hutoa kafara,sasa kununua hapo inakuaje?
 
Aisee
 
Mkono nje ya gari unafanya nini alafu analiendesha gari
Akubali tu alishindwa kulimudu gari kwenye kona kutokana na kuwa katika mwendo mkali. Hayo mambo ya kumkwepa mtu anaye mfahamu, na kushindwa kulimudu gari na kupinduka; ni utetezi wa kufikirika.

Yaani ni sawa na mtu afanye kitendo cha ubakaji, halafu ajitete eti Shetani alinipitia! Alikupitia kwenda wapi!

All in all, pole nyingi kwake. Hata mimi niliyaona yale mahojiano yake na yule mwandishi wa Azam Media.
 
Na mtakufa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tangu nipate habari zake za kununua kafara, sitaki mie.
Napanda new force na tavavili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweeeeeeh. Huku mbinga hizo amna ni superfeo tu ya uhakika

Siwezi kupanda kisumapai au bambo ni magari ya hovyooo sana,yanasimama kama daladala,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweeeeeeh. Huku mbinga hizo amna ni superfeo tu ya uhakika

Siwezi kupanda kisumapai au bambo ni magari ya hovyooo sana,yanasimama kama daladala,
We name sasa km unakuja Dar, si unawahi town unakata tavavili unalala pale, asubuh yake njian.

Msigwa atatumaliza wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afrika ulozi upo sana tu..sema wafia dini za wazungu na waarabu watabisha.

Chamsingi omba yasikukute.

#MaendeleoHayanaChama
Mimi niliwahi kuona nyoka mkubwa anavuka barabara kati ya Same na Hedaru.
Jambo la ajabu nawaonyesha wenzangu hawaoni.
Pili; nilikuwa kwenye basi liitwalo Born city, niliona mtu akiruka kutoka ukingo wa barabara kutokea kulia na akajitupa barabarani dereva hakujali kumpisha wala kushika breki...safari ikaendelea sijui kama alipona au aliyeyuka kwani sikusikia kishindo cha kugongwa.
 
We name sasa km unakuja Dar, si unawahi town unakata tavavili unalala pale, asubuh yake njian.

Msigwa atatumaliza wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua waliachaga route ya mbinga to dar,,,,kwasababu raia walikuwa wanaenda kupanda songea,walikuwa hawapandi feo

Now naona kaja kwa spidi sio ya kitoto,feo/selous inaanziambamba bay to dar..na mbinga to dar karudisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…