Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Aliyekwambia tuna roho mbaya nani? Usije ukawa wewe ndo ulikatisha barabarani!Mchangieni jamani acheni roho mbaya!
0626452699
Jina litakuja Saadiya Shekhe Mbwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekwambia tuna roho mbaya nani? Usije ukawa wewe ndo ulikatisha barabarani!Mchangieni jamani acheni roho mbaya!
0626452699
Jina litakuja Saadiya Shekhe Mbwana
Looooh alikuwa kaziniKuna siku nilikuwa natoka Dar kwenda mkoa huko, hapo maeneo ya Kibaha baada tu ya kuvuka daraja halafu ile mizani (sasa haipo)...
Ilikuwa alfajiri kama ya saa 9 kwenda 10 hapo, gari haikuwa imechanganya sana vile safari ndio inaanza...
Pembeni kidogo tu hapo nilikaona kabibi kizee kapo uchi wa mnyama, kamchuchumaa makalio yameelekezwa barabarani...
Mkuu lazima iwennamba yake mwenyewe!Mchangieni jamani acheni roho mbaya!
0626452699
Jina litakuja Saadiya Shekhe Mbwana
Duuuuh hapo hatareeeeh sana lol,Unajua waliachaga route ya mbinga to dar,,,,kwasababu raia walikuwa wanaenda kupanda songea,walikuwa hawapandi feo
Now naona kaja kwa spidi sio ya kitoto,feo/selous inaanziambamba bay to dar..na mbinga to dar karudisha
Ungemparaza na gari yako shwaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilikuwa natoka Dar kwenda mkoa huko, hapo maeneo ya Kibaha baada tu ya kuvuka daraja halafu ile mizani (sasa haipo)...
Ilikuwa alfajiri kama ya saa 9 kwenda 10 hapo, gari haikuwa imechanganya sana vile safari ndio inaanza...
Pembeni kidogo tu hapo nilikaona kabibi kizee kapo uchi wa mnyama, kamchuchumaa makalio yameelekezwa barabarani...
Waafrika tunaendekeza sana hizi mambo za mauzauza, halafu ni mauzauza ya kuumiza watu au kuwatoa uhai kabisa...
Usiwe mbishi wewee. Tunashauri sana acheni kupiga nyeto kabla ya safari hamsikii Matokeo yake mnabaki kuona mauza mauza njiani kwasababu nyeto zimefilisi na kunajis bongo zenu.Hapo nyeto imeingiaje mzee wa nyeto?
Amka hapa jf hauko bafuni kwako ukipiga nyeto-akili ya kinyeto nyeto uwe unaacha bafuni. Sawa.
ni msigwa yupi huyo, huyu alokuwaga mbunge au ??Na mtakufa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tangu nipate habari zake za kununua kafara, sitaki mie.
Napanda new force na tavavili.
Ungemparaza na gari yako shwaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie pia siwezi kwepa mpuuzi yeyote barabarani hata awe punda nitaishi nae tu! As long as ni usiku mneneMauzauza nami nimewahi kukutana nayo natoka Dar kwenda Lindi mtu alikua anatembea kwa kasi kuja upande niliopo barabarani. Sikuyumba nikapita naye. Kumbe si binadamu. Wakati mwingine ni mashetani.
Anayebisha anabisha tu sababu kaamua kubisha.
Kasema eneo halikuwa na Kona hatarishi labda aliweka kishoka.Mkono nje ya gari unafanya nini alafu analiendesha gari
Dah!!![emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Hilo linawezekana.
Uchovu, mawazo, mwili kuishiwa maji na safari za nenda rudi zisizoisha zinapelekea upatwe na hallucinations
Mkuu lazima iwennamba yake mwenyewe!
Aache naye kutuingiza chaka! Ni maluweluwe yake tu au alisinzia. Anyways hakuna dereva anayekubali kufanya kosa. Wote hutafuta visingizio. Tuombe Mungu amponye na pole zake.Siku chache baada ya tukio la kukatika mkono wa kulia, Halima Mbwana aliyepata ajali wakati akiendesha basi la Super Feo lilipokuwa likitokea Songea kwenda Dar es Salaam, ameelezea kilichotokea sikunde chache kabla ya tukio.
Kwa sasa Halima anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya rufaa ya St. Benedict iliyopo Ndanda Mtwara baada ya ajali hiyo iliyotokea Mei 22, 2022.
“Wakati natokea Songea kwenda Dar es Salaam kupitia Lindi, sehemu zote hatarishi nilikuwa nimeshazivuka, kuna sehemu ina kona ya kawaida sana, nikaona kuna mtu anavuka kutoka kulia kwenda kushoto na nina mfahamu, ilikuwa ghafla sana.
“Nilishtuka sana, nikawa namkwepa, kushtuka gari likawa limeshalalia upande mmoja, lakini baadaye nilibaini kuwa hakukuwa na huyo mtu, ni miujiza tu ya barabarani, hivyo vitu vipo.
“Wakati gari linalala mkono wangu ulikuwa nje, lilivyoanguka mkono wangu ulikatika palepale nauona, nikakumbuka kuwa gari bado linawaka na inaweza kulipuka, nikatumia mkono wangu wa kushoto kulizima kwa usalama wa kuondoa moto.
“Namshukuru Mungu, nilihudumiwa vizuri hospitali, ndoto yangu ilikuwa kuendesha gari zaidi ili baadaye nisomee urubani, lakini sijakata tamaa kuwa maisha yangu yameishia hapa,” – Halima.
Source: Azam TV
Pia soma: Basi la Super Feo Songea-Dar via Lindi limepata ajali. Dereva mwanamke avunjika mkono
Haitwi halima bana jina lake ndio hilo Saadiya Shekhe MbwanaJina likiwa Halima Mbwana nitachangia
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Acheni kutupiga fix jamani. Madereva wa long trip za Bongo tu ndiyo wanakutana na vitu vingi na siyo sehemu nyingine duniani!🤣🤣Kama wewe sio Dereva wa long trip usi coment chochote maana utabisha tu, huko safarini watu wanakutna na mengi, mengine hawayasemi tu hadharani.
Piga cm usiache kumhoji kwanini anajiita halima ilhali yeye ni Saadiya Shekhe MbwanaWacha nitamchangia ila kwanza nitampigia simu.
Wachawi wasenge sana kumamaye zao..
Dada mzuri wamemtia balaa dah!
Fix!Daah kitu kama hii niliiona Sukamahela pale Singida bibi mmoja yuko katikati ya barabara na yuko umbali wa mita chini ya 5, eeee buana weeee ile kuhamaki na kutoa macho pamoja na kushika kichwa akili ikiwa imehama mtu anaonekana nyuma akikatisha barabara kulia kwenda kushoto ukitokea Dodoma.
Hapo ndio nikajua kuna mambo japo ile picha kichwani huwa haileweki (ninachoona ndicho au naota)