Dereva Halima aliyekatika mkono asema 'Niliona mtu ninayemjua akivuka barabara kabla ya ajali'

Mtu ni me au ke je unamfaham kivip ni mpenz wako je ulitoka kusex nae maana huenda taswira ilikujia
 
Msigwa huyo akaweka kiini macho ili dereva aangushe gari, abiria wafe yeye apate kafara, huyu baba atatuua wangoni wote khaaah.

Tutamchoka na tutamfurusha km mwenzie Ottawa. Msieeew zake.
Ottawa yupo
 
Tuwe positive sometime, kasema kona zote alizikata vizuri tu hiyo ya mwisho ya kawaida tu na ndo mauzauza yalipotokea kuna dereva giriki tushamuongelea sana hapa aliwahi kubwaga bus kona hizo
 
Afrika ulozi upo sana tu..sema wafia dini za wazungu na waarabu watabisha.

Chamsingi omba yasikukute.

#MaendeleoHayanaChama
Umeweka vizuri kuwa ni Africa. Naendesha magari ya mizigo ya masafa kwenye nchi za dunia ya kwanza, si usiku si mchana kwa miaka sijaona mauzauza yoyote.
 
Afrika ulozi upo sana tu..sema wafia dini za wazungu na waarabu watabisha.

Chamsingi omba yasikukute.

#MaendeleoHayanaChama
Pole yake. Nimeendesha sana magari ya abiria tangu nikiwa nina miaka 24 enzi hizo nilichojifunza ni kufanya sala fupi kila unapoanza safari na kumtanguliza Mungu. Ni kwa kufanya hivi kwa imani yangu, nimeshuhudia, na kweli Mungu ameniepusha na mauzauza ya barabara kwa namna nyingi. Mfano nimeshapakia abiria kitokea Magomeni Mapipa kuelekea Moro, kufika usalama tu pipe ya oil inapasuka oil yote chini! Kwa tafsiri yangu, malaika walinigomea kuifanya hiyo safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…