Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

naomba usiangalie, imeharibu siku yangu. mtu anakata roho anaruka na kutetemeka kakakamaa kama kuku yaani. mtoto wa mwanadamu mwenzio na jamaa mwanaume amesimama na rungu pembeni kama anataka kumwongeza. wakamatwe haraka wauaji hawa.

All in all,
Wakati mwingine unakuta marehemu aliwapa shiti na kuwatukana Sana kiasi Cha kushindwa kuvumilia who knows hata ivyo hawakupaswa kufanya walicho fanya ni kitendo Cha kinyama Sanaa
 
So abiria wake wote waliojaa kwenye basi wakamuacha achezee kichapo hadi kufa???
Hao ndiyo watanzania niwajuao mimi sasa, wanaishia kuchukua video ili wakatipie mitandaoni.
 
Kwanini ulisomea Sasa? Imekusaidia nini?
 
Labda abiria waliokuwepo ni wale wa UPINDE!
 
Kwa Hiyo wakati huyo Dereva anauwawa hao Abiria wa Bus lake ndo walikua Wana record hii video..!

Ila Kwa Uzuzu wa Watanzania sishangai....! Kama ingekua Nchi nyingine, kungeua na Marehemu 3 na Malori 2 yakiwa Majivu.
 
Na wewe ulikuwa unatazama?
 
Abiria wa basi lake walikimbia?
 
Kwa hiyo alikuwa ana pambana na walevi na watu Waliokuwa na silaha. Sasa hapo abiria wangepambanaje na walikuwa hawana silaha. Ku rekodi angalau kuna saidia kutoa ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…