Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

Hao watu wenye hizi tabia wapo kila mahali mnaposema madereva wawe wanawake kisa hilo tukio.kesho mkisikia askari kabaka mtasema maaskari wawe wanawake...inshort tuwe makin na kuomba mungu tuh
 
Mtoto wa kiume kupewa k si sawa na mtoto wa kike kuingizwa dushe bwashee na kukaharibia bikra yake
 
Mtoto wa miaka 5 jamani jamani!inahuzunisha [emoji19]. Hizi school bus inabidi kuwe na ulazima wa kuwa na matrons wa kuwasindikiza watoto.
 
ilikuwa wapi na ni mda gani na kwa malengo gani.?
 
Hao watu wenye hizi tabia wapo kila mahali mnaposema madereva wawe wanawake kisa hilo tukio.kesho mkisikia askari kabaka mtasema maaskari wawe wanawake...inshort tuwe makin na kuomba mungu tuh
Hata mi nashangaa wanaposema madereva wawe wanawake, tukio kama hili linaweza tokea popote.
 
Ila pia natoa nasaha kwa watu wazima (Wanaume) epukeni kukaa,kuzoeana,kutaniana na watoto wa kike kama sio WA KWAKO/NDUGU YAKO.

Nimeishawahi kushuhudia mtu aliponea nyundo ya miaka mingi jela kisa hao watoto.
 
Sasa mbona unataka watoto wa wengine washikwe shikwe manyonyo
Kosa la kumshika maziwa mwanafunzi wa darasa la 5 mpaka la 7 linaangalika, kuliko la kumnajisi mtoto wa darasa la kwanza.
 
Alafu hautawahi kuona mbwa kaenda kwa mbuzi, punda kwa ng'ombe nk. Wanadamu ndio tunatumikishwa na shetani lakini wanyama wako vzr tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…