macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Unafanya vizuri sana. Lakini wakati mwingine sisi watanzania ni watu sijui nisema waoga au tu wazembe, yaani mzazi anakubali mtoto wa miaka mitano apande kwenye basi bila uangalizi wa mtu? Vitu vingine ni kutumia common sense tu.Mimi shule wanangu wanasoma kila gari linakua na mwalimu,sinaga ujinga wa kusomesha shule za bora liende
Ila ni kwetu tu, hii naamini yatakuwa ni ya imani za kishirikina tu, hata tukimuuliza mtuhumiwa utakuta ana mke na mabibi kibao, akatwe mhogo tu..Huu mchezo wa madereva kukaa peke yao na watoto kwenye gari bila kua na mdada (awe kama matron) kwenye gari sio wa kuvumilika. Kila bus liwe na dereva Ila na mdada wa kuwaongoza watoto.
Wanyakyusa tena!View attachment 1722734
Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano.
Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa Msuguri
Dereva huyo amekuwa akiwabeba wanafunzi wanaosoma shule hiyo.
Chanzo: Mwananchi
Ungekaa kimya tusingegundua ubovu wa akili yakoMh! Darasa la kwanza?!, si bora angemshika maziwa wa darasa la 5 au la 6 pasipo kumnajisi?
Broh me huwa nahisi kuna kitu cha ziada tofauti na hizo unazoita nyege mshindo. Hivi imagine mtu anakuwa satisfied vipi na dogo wa miaka 5?Hizi shule zetu za school basi walivyo na njaa, wanashindwa kumpa overtime mwalimu kwa ajili ya kuwasindikiza watoto wote hadi wamalizike?
Halafu madereva wengi ni 20's wana mihemko na nyege MSHINDO(Hawajaoa) kwahiyo ni rahisi sana kuwabaka watoto..
Serikali inabidi iweke msisitizo na traffic wakamate gari la shule lisilokuwa na matron ndani.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwahiyo unataka Gari ziendeshwe na ng'ombe?
Mbuzi wanaingiliana sana kinyume na maumbile [emoji28][emoji28][emoji28].... nikusahihishe kidogo; wanyama hawajafikia level hiyo! Mwingiliano wa wanyama ni kwa madume kuwaingilia majike waliopevuka na walio katika joto lengo ni kuongeza kizazi na sio kustarehe au madhumuni mengine. Wanyama hawaingiliani kinyume na maumbile; hilo liko kwa binadamu tu!
Mkuu ulitaka kuandika nini hapa?Kwa hbr kamioo soma mwnamnvh gazet leo utaoata kiss kamaili
... labda buzi wa kwenu mkuu.Mbuzi wanaingiliana sana kinyume na maumbile [emoji28][emoji28][emoji28].
Ila kiufupi kuna kitu hakipo sawa kwa huyo dereva au wote wanaotenda haya matukio
Sijawai kuona gari Lina dereva tu.kweli hata mwenye shule awajibishweMimi shule wanangu wanasoma kila gari linakua na mwalimu,sinaga ujinga wa kusomesha shule za bora liende
Shule za masista lazima gari lina dreva na mwalimu asubuhi na jioni wakati wakurudi....mfano arusha 90% ya shule ni dreva tu na gari inakimbia kama daladalaSijawai kuona gari Lina dereva tu.kweli hata mwenye shule awajibishwe
Huku dar shule nyingi tu wanakuwa na mwalimu wa kike na dereva bna hata sio za masisterShule za masista lazima gari lina dreva na mwalimu asubuhi na jioni wakati wakurudi....mfano arusha 90% ya shule ni dreva tu na gari inakimbia kama daladala
Hizo sawa kusomesha mtoto,sio zile shule watoto wanapelekwa na bazazi tu,ambalo wanawake wakubwa haliwaoni linataka watotoHuku dar shule nyingi tu wanakuwa na mwalimu wa kike na dereva bna hata sio za masister
Ndugu yangu upo sahihi kabisa kuweka mhudumu lakini umewai kujiuliza hata madereva wa hizo school bus wanalipwa shingap? Sembuse kuweka wahudumu dereva mwenyewe mshahara mauzauza sasa iyo ela ya kuwalipa ao wahudumu inatoka wapiKwan mdada hawazi kumnajisi mtoto wa kiume??
Hujawah sikia mdada anamchukua mtoto wa kiume na kufanya nae yjinga?
Dunia imeharibika, suluhisho ni kuwa wahudumu ndan ya hilo bus