Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Kwa wanao mjua britanicca si mara ya kwanzaHuyu jamaa britanicca alipata wapi hizi taarifa?
Leo hii dereva wa Heche amekutwa ameuwawa huko Kigoma.
Hii inatoa picha kamili kuwa taifa letu lipo chini ya watu dhalimu na wasiofaa kuwa madarakani.
Wanaogopa kitakachowakuta wakiwa nje ya madaraka!Tusifike mbali, ishu ni kukubaliana tu ni mabadiliko gani yafanyike, haina haja ya kuuana, siasa haziendi hivyo. Kina starmer mambo yaliwashinda wakaona isiwe taabu, wakaachia madaraka ili wenye fikra mpya nao wazitumie kujenga nchi yao. Mtu akiona maji yamemfika shingoni ajiuzulu tu kuliko kufanya siasa za chuki, mara kuzuia siasa zisifanyike kunakopelekea uhasama na chuki, hizi ni siasa za aibu kubwa. Watu waachwe waseme tani yao ndio uhuru na demokrasia komavu hiyo. Watu wakibanwa hujenga chuki na uhasama wa kuuana
Yes, watahusishwa, lakini ensuing viralness of negative publicity haiwezi kukaribia ile ya kumuua kiongozi mwandamizi wa CHADEMA.Siwezi kukukanusha. All is possible! Ila kumuua dereva definitely watahusishwa na kama ni kulipiza kisasi una uwezo utalipiza.....
Kwa hiyo kauawa ni muuaji ni CCMTumechoka sana na CCM jamani inamaliza watanzania tuikatae kwa kila namna.
Nguvu tunazo na mambo ya kumwachia Mungu kila kitu ni uzembe kuna mambo mengine ni sisi tumejaa woga kwa nn mtu mmoja atusumbue watu m 60 hivi huoni km sisi ni mapopomaMungu wetu ni waajabu mno hatuna nguvu ila wakati waja wa malipo hizi dam hazitaenda bure daima
Maybe your head is full of mucus, with no brain left!Heche kaamua kumuua dereva wke kuficha ushahidi wa madhambi yake
Polisi gani unaowazungumziaPolice wafanye uchunguzi watupe mrejesho watu washapelekwe mahakamani
Mamayo, mwisho wenu umefika, takatakaManina zako, acha fiksi wewe. Hakuna wa kuandamana hapo
Yeye anajua.britanicca hana baya