Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

Kwanini tunawachafua sana devil worshippers!? Kwahiyo ufilaji ni wao! Wezi ni wao? Ulawiti ni wao? Kila kitu kibaya ni wao?! Kwani hakuna watu wanaomuabudu Mungu na wanafanya ujinga?! Diddy sio devil worshipper acheni hizo
 
Hii si tayari ni siri. Je alieitoa alitolewa moyo mkavu. Wewe imefikaje kwako ?
 
Hii si tayari ni siri. Je alieitoa alitolewa moyo mkavu. Wewe imefikaje kwako ?
Hiyo sio siri, kuliko kuuliza jambo hili limefikaje kwangu, ni vyema ukafanya tafiti mwenyewe kama kweli una nia ya kujua haya mambo.
 
M
Kwanini tunawachafua sana devil worshippers!? Kwahiyo ufilaji ni wao! Wezi ni wao? Ulawiti ni wao? Kila kitu kibaya ni wao?! Kwani hakuna watu wanaomuabudu Mungu na wanafanya ujinga?! Diddy sio devil worshipper acheni hizo
Mafwele yupo kundi gani ?
 
Hiyo sio siri, kuliko kuuliza jambo hili limefikaje kwangu, ni vyema ukafanya tafiti mwenyewe kama kweli una nia ya kujua haya mambo.
Haya mambo yalizuka sana kipindi cha awamu ya kikwete na ilikuwa kiki ya watu wa dini kujipigia hela.kipindi kile kulikuwa na list ya freemason, hata kikwete alitajwa.
Ulikuwa ni ujinga na utapeli.
Hili sakata kuna watakaotapeliwa na kuliwa makalio wakidhani watalipwa hizo pesa.
Hii story ni ya kitapeli.
 
Duh, Sawa Mr Tanganyika, ni kweli matapeli wapo, na watu wanaliwa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…