Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Swa mkuuWewe hujatembea duniani, tembea uone, wazungu wameadvance ushirikina wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swa mkuuWewe hujatembea duniani, tembea uone, wazungu wameadvance ushirikina wao.
Nani kakudanganya shetani amefungwa na Yesu?Duu nimepitia makala zake hapa ni noma,
Ila nawaza shetani aliwezaje kuingiza nia zake kwa kupitia vikundi hivi na alimtumia nan wakati yeye kafungwa na kristo
Wanasema pia hata ikitokea binadamu akawa ana judge baadhi ya mambo katika biblia tiari huyo ni illuminate( god of reasons) na wala haiitaji kujiunga ni suala la wewe ku reason tu tiari umo haitakiwi.ku reasons jambo lolote, kwahyo na sisi ni illuminate.
AiseeNa ndio iliyomuuwa kwa kiburi chake.
Masikini weeee kijana wetu mpenda utajiri na vyeo na utukufuUtajiri ,mafanikio ya aina yoyote ile yanatokana juhudi pamoja na uvumilivu , sasa kuna baadhi ya watu wanataka njia za mkato kwa kumuangukia shetani ili wapate mafanikio ya haraka haraka mwisho wa siku shetani/ibilisi huwageuka na kuwapa mitihani mizito sana na kuwabana katika sehemu ambayo si rahisi kukataa kwa utakayo amrishwa.
Sasa huenda pia huyu kijana (P Didy ) ni miongoni mwa ma devil worshippers na mtihani alipopewa ndio huo wa kuwalawiti wanaume wenzake tena wale ambao sio mashoga kabisa.
Kwa akili ya kawaida inaonekana kabisa hili ni shinikizo maana si rahisi mtu mwenye akili zake timamu awe vile alivyo .
Kwa alipofikia kutoka si rahisi na mwisho wake umekuja vibaya sana kila mmoja anamnyooshea vidole .
Hili liwe funzo pia kwa wengine wapenda utajiri wa shortcut ipo siku utatakiwa kuulipia tena kwa gharama kubwa sana ambayo kwa namna moja au nyingine inashusha utu wako na unaonekana kituko kwa wanaokutazama.
Ulijiridhisha vipi kama ni kweli alikuwa ni member wao
Hao ni watu wanajitungia story kujipatia fedha. Umesema
ni siri yeye amewezaje kutoa siri hiyo akabaki salama mpaka
akaandika na kitabu.
Hivi ni nani aliwaambia freemasons wanauhusiano au wanamwabudu shetani?! Nadhani watu wanatakiwa kuzitambu vizuri hizi secreat societies ili kuepusha hii mikanganyiko.Freemason wamemtumia kuharibu watu mwishoee wamemtupa huko.. Shetani ndivyo alivyo anakutumia lengo lake likitimia nakutupa na kukucheka
Swali hili unaweza kujiuliza mwenyewe na kupata majibu je kwanini zinaitwa secret societies? mtu yoyote anaefanya mambo yake gizani katika akili ya kawadi kabisa lazima upate mashaka.Hivi ni nani aliwaambia freemasons wanauhusiano au wanamwabudu shetani?! Nadhani watu wanatakiwa kuzitambu vizuri hizi secreat societies ili kuepusha hii mikanganyiko.
Zinaitwa secreat sicieties sababu wakati zinaanzishwa zilipingwa na serikali za dunia kwa maslahi yao. Ndio maana zikafanywa kuwa siri. Ukifuatilia uanzishwaji wa societies kana freemasons, utagundua uanzishwaji wake haukulenge masuala ya kiimani kabisa. Jaribu kufatilia mambo. Hizi ni jamii za watu smart watupu. Huwezi kukuta mbulula ni mwanachama wa freemason.Swali hili unaweza kujiuliza mwenyewe na kupata majibu je kwanini zinaitwa secret societies? mtu yoyote anaefanya mambo yake gizani katika akili ya kawadi kabisa lazima upate mashaka.
ZIle kelele.za kusema wanatoa kafara ni uongo?😁Zinaitwa secreat sicieties sababu wakati zinaanzishwa zilipingwa na serikali za dunia kwa maslahi yao. Ndio maana zikafanywa kuwa siri. Ukifuatilia uanzishwaji wa societies kana freemasons, utagundua uanzishwaji wake haukulenge masuala ya kiimani kabisa. Jaribu kufatilia mambo. Hizi ni jamii za watu smart watupu. Huwezi kukuta mbulula ni mwanachama wa freemason.
Kwa wale watakaomfuata MUNGU anawasubiri siku ya mwisho ? Hapa sijakuelewa mkuu😁Kuhusu kuhoji maswala ya vitabu vya dini, kweli hilo ni kosa na ni kinyume na sheria za Mungu.
Zipo dini ambazo zinafahamika kama New age movement, Kama humanists, situation ethics na wengine, wao wamebobea kuhoji na kupinga amri za Mungu.
Shetani alipewa uhuru wa kufanya chochote juu ya mwanadamu, na kwa wale watakao mfuata Mungu anawasubiri siku ya Mwisho.
Swali la.kizushi kama utakuwa na ufahamu wa haya mambo
Iv after unyakuo ndio serikali moja na dini moja dunjanj itatengenezwa au kabla?
NImepitia mkuu, sasa bado hujanijibu mkuu, serikali itakuja baada ya unyakuo au kabla?Serikali moja itakuja sambamba na dini moja, na mpaka sasa tayari dini hiyo imeanza kusambaa duniani kote.
Waumini wake wengi hawajui kwamba tayari ni waumini, wengine bado wanajiita wakristo au waislamu lakini sivyo.
Hiyo dini ni ya kuabudu mtu na akili yake, yani unajiabudu wewe na akili yako, mfano siku hizi kuna watu wanasema:-
• Believe in yourself
• My life my rules
• Be you
• Follow your heart ect.
Nilisha andika uzi kuhusu hii mada, unaweza kupitia ukaona👇
New Age Paganism
Hellow brothers and sisters. Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu. Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo...www.jamiiforums.com
Unyakuo gani unamaanisha mkuu?NImepitia mkuu, sasa bado hujanijibu mkuu, serikali itakuja baada ya unyakuo au kabla?
Refer kesi za R Kelly leo yuko wapi!?P didy ni kama chambo, na hakuna lolote litakalo mkuta kwani wapo wakubwa zaidi yake wana fanya hayo.
Afadhali yeye anashutumiwa kwa visa au kesi za watu wazima wenzake, kuna wale wakuu wa nchi waliotajwa kwenye Eipstin list( island), mpaka leo hakuna walicho fanywa.
Pia mkuu naomba nikuulize swali, MUNGU ana riziki ya kila mtu sio?, fikiria kijana hana ajira,.maisha magumu, ila izo business idea ambyo inafika kimataifa na asipoifanya atajikuta anakuw masikin wa kutupwa, na kukosa hata mahitaji ya msingi na rejea huko juu kuwa mfumo wa kimataifa wapo hao illuminate, tuseme kwa kijana au vijana ,sasa nini kijana atafanya hapa ili aishi?Serikali moja itakuja sambamba na dini moja, na mpaka sasa tayari dini hiyo imeanza kusambaa duniani kote.
Waumini wake wengi hawajui kwamba tayari ni waumini, wengine bado wanajiita wakristo au waislamu lakini sivyo.
Hiyo dini ni ya kuabudu mtu na akili yake, yani unajiabudu wewe na akili yako, mfano siku hizi kuna watu wanasema:-
• Believe in yourself
• My life my rules
• Be you
• Follow your heart ect.
Nilisha andika uzi kuhusu hii mada, unaweza kupitia ukaona👇
New Age Paganism
Hellow brothers and sisters. Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu. Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo yanatia mashaka kwani ni dalili ya kwamba mtu anaweza kuwa mpagani bila kujijua. Pia maneno hayo...www.jamiiforums.com
R Kelly zile ni kesi zake binafsi, unyanyasaji alio ufanya kwa wanawake kwa tamaa zake binafsi.Refer kesi za R Kelly leo yuko wapi!?
Unyakuo gani unamaanisha mkuu?
Unaweza kuthibitisha Diddy hizo anazotuhumiwa haziko influenced na tamaa zake binafsi.R Kelly zile ni kesi zake binafsi, unyanyasaji alio ufanya kwa wanawake kwa tamaa zake binafsi.
P didy ni wakala, kiungo muhimu kwenye industry ya mziki, alitumika kuwasajili wasanii kwa kuwafanya hayo anayo wafanya.