Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Ni kweli Mungu amegawa riziki kwa kila mtu na kwa kipimo chake, lakini utajiri una siri nyingi, Na utajiri wa kweli Mungu ndyo anatoa, so kijana akiwa na tamaa na akitaka kufika level za juu lazima atavuka mipaka ya Mungu. Na mwisho ndyo atakutana na hao watu wa shetani.Pia mkuu naomba nikuulize swali, MUNGU ana riziki ya kila mtu sio?, fikiria kijana hana ajira,.maisha magumu, ila izo business idea ambyo inafika kimataifa na asipoifanya atajikuta anakuw masikin wa kutupwa, na kukosa hata mahitaji ya msingi na rejea huko juu kuwa mfumo wa kimataifa wapo hao illuminate, tuseme kwa kijana au vijana ,sasa nini kijana atafanya hapa ili aishi?