Devil worshippers wanapitia magumu sana huenda P Didy ni mmoja wapo, na huwa wana mwisho mbaya sana

Nani kakudanganya shetani amefungwa na Yesu?
 
Masikini weeee kijana wetu mpenda utajiri na vyeo na utukufu
 
Freemason wamemtumia kuharibu watu mwishoee wamemtupa huko.. Shetani ndivyo alivyo anakutumia lengo lake likitimia nakutupa na kukucheka
Hivi ni nani aliwaambia freemasons wanauhusiano au wanamwabudu shetani?! Nadhani watu wanatakiwa kuzitambu vizuri hizi secreat societies ili kuepusha hii mikanganyiko.
 
Hivi ni nani aliwaambia freemasons wanauhusiano au wanamwabudu shetani?! Nadhani watu wanatakiwa kuzitambu vizuri hizi secreat societies ili kuepusha hii mikanganyiko.
Swali hili unaweza kujiuliza mwenyewe na kupata majibu je kwanini zinaitwa secret societies? mtu yoyote anaefanya mambo yake gizani katika akili ya kawadi kabisa lazima upate mashaka.
 
Swali hili unaweza kujiuliza mwenyewe na kupata majibu je kwanini zinaitwa secret societies? mtu yoyote anaefanya mambo yake gizani katika akili ya kawadi kabisa lazima upate mashaka.
Zinaitwa secreat sicieties sababu wakati zinaanzishwa zilipingwa na serikali za dunia kwa maslahi yao. Ndio maana zikafanywa kuwa siri. Ukifuatilia uanzishwaji wa societies kana freemasons, utagundua uanzishwaji wake haukulenge masuala ya kiimani kabisa. Jaribu kufatilia mambo. Hizi ni jamii za watu smart watupu. Huwezi kukuta mbulula ni mwanachama wa freemason.
 
So
ZIle kelele.za kusema wanatoa kafara ni uongo?😁
 
Kwa wale watakaomfuata MUNGU anawasubiri siku ya mwisho ? Hapa sijakuelewa mkuu😁
Swali la.kizushi kama utakuwa na ufahamu wa haya mambo
Iv after unyakuo ndio serikali moja na dini moja dunjanj itatengenezwa au kabla?
 
Swali la.kizushi kama utakuwa na ufahamu wa haya mambo
Iv after unyakuo ndio serikali moja na dini moja dunjanj itatengenezwa au kabla?

Serikali moja itakuja sambamba na dini moja, na mpaka sasa tayari dini hiyo imeanza kusambaa duniani kote.

Waumini wake wengi hawajui kwamba tayari ni waumini, wengine bado wanajiita wakristo au waislamu lakini sivyo.

Hiyo dini ni ya kuabudu mtu na akili yake, yani unajiabudu wewe na akili yako, mfano siku hizi kuna watu wanasema:-

• Believe in yourself
• My life my rules
• Be you
• Follow your heart ect.

Nilisha andika uzi kuhusu hii mada, unaweza kupitia ukaona👇

 
NImepitia mkuu, sasa bado hujanijibu mkuu, serikali itakuja baada ya unyakuo au kabla?
 
Refer kesi za R Kelly leo yuko wapi!?
 
Pia mkuu naomba nikuulize swali, MUNGU ana riziki ya kila mtu sio?, fikiria kijana hana ajira,.maisha magumu, ila izo business idea ambyo inafika kimataifa na asipoifanya atajikuta anakuw masikin wa kutupwa, na kukosa hata mahitaji ya msingi na rejea huko juu kuwa mfumo wa kimataifa wapo hao illuminate, tuseme kwa kijana au vijana ,sasa nini kijana atafanya hapa ili aishi?
 
Refer kesi za R Kelly leo yuko wapi!?
R Kelly zile ni kesi zake binafsi, unyanyasaji alio ufanya kwa wanawake kwa tamaa zake binafsi.

P didy ni wakala, kiungo muhimu kwenye industry ya mziki, alitumika kuwasajili wasanii kwa kuwafanya hayo anayo wafanya.
 
Kuchukuliwa kwa kanisa= wateule wa MUNGU, then mpinga kristo anachukua nafasi kwakua hakutakuwa na kuuza wala kununua bila ya kuwa na chapa hio, matajiri,masikini, watoto kwa wakubwa watalazimishwa kupigwa. 👈 nilisoma kwnye biblia.
Unyakuo gani unamaanisha mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…