Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
C ndio hayo hayo mambo yao?😀Unajua kwanini Jiwe alikuwa hataki kwenda Europe/ America?
Ila museveni kakataa ushoga, kitu ambcho wao illum wanakitaka, utasema yumo?,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C ndio hayo hayo mambo yao?😀Unajua kwanini Jiwe alikuwa hataki kwenda Europe/ America?
Museveni hawana shida naye, wanajua muda wake umebaki mchache na wao mipango yao ni ya muda mrefu, still Uganda ni yao na resources za pale bado wanachota wanavyo taka.C ndio hayo hayo mambo yao?😀
Ila museveni kakataa ushoga, kitu ambcho wao illum wanakitaka, utasema yumo?,
Unajua kwanini Jiwe alikataa chanjo ya Corona?Jiwe mwenyewe ni mfano wa shetani tu.
Duuh okay , so mkuu suala la mafanikio ya kiuchumi kwa mfanyabiashara haiwezekani mpaka uwe upande wa devil? Yaani hakun njia halali?,Museveni hawana shida naye, wanajua muda wake umebaki mchache na wao mipango yao ni ya muda mrefu, still Uganda ni yao na resources za pale bado wanachota wanavyo taka.
Wafanya biashara ambao biashara zao zina husika na resources muhimu ndyo wanahusika na hizo society, mfano watu wa teknolojia, vyakula, na medicine.Duuh okay , so mkuu suala la mafanikio ya kiuchumi kwa mfanyabiashara haiwezekani mpaka uwe upande wa devil? Yaani hakun njia halali?,
Unamzungumziaje benj fernandez ukiangalia his goal?
tunachukulia mfano tu kaka
You know nothing jon snowKivipi Mkuu? Wote ni walewale, wakishakutumia wanakuacha.
SawaMkuu naomba ufatilie, kuna kitu utakipata.
MKuu hata( NALA) c tunawez sem iko katika technology?Wafanya biashara ambao biashara zao zina husika na resources muhimu ndyo wanahusika na hizo society, mfano watu wa teknolojia, vyakula, na medicine.
Kupiga picha haimaanishi na hao Marais ni miongoni mwao.View attachment 3107187
Huyo ni sir Chande, aliyekuwa grand Master wa East Africa zone
Kutokana na maradhi yake, ilikuwa ngumu kusafiri umbali mrefu haswa kwa ndege ilikuwa unampa shida.Unajua kwanini Jiwe alikuwa hataki kwenda Europe/ America?
Pia mkuu samahani , wale akina nikola tesla , albert eisteen, ule uwezo wa kiakili, inaweza kuwa sababu ya illum kukufata na kutaka ujiunge nao?Wafanya biashara ambao biashara zao zina husika na resources muhimu ndyo wanahusika na hizo society, mfano watu wa teknolojia, vyakula, na medicine.
Kupiga picha haimaanishi na hao Marais ni miongoni mwao.
Kumbuka hao Marais ni wakuu wa nchi wanapiga picha na kila aina ya viongozi wa kiimani kuanzia wakristo ,waislamu ,budha na hata hao freemason.
Hazikuwa zimethibitishwa na kuleta matokeo chanya.Unajua kwanini Jiwe alikataa chanjo ya Corona?
Hhhh, sawa mkuuKupiga picha haimaanishi na hao Marais ni miongoni mwao.
Kumbuka hao Marais ni wakuu wa nchi wanapiga picha na kila aina ya viongozi wa kiimani kuanzia wakristo ,waislamu ,budha na hata hao freemason.
Mtakufa kwa hofu ya msivyovijuaWafanya biashara ambao biashara zao zina husika na resources muhimu ndyo wanahusika na hizo society, mfano watu wa teknolojia, vyakula, na medicine.
Sio kila kitu utafuniwe.Mkuu iv kuna utofauti kati ya illuminate na freemasons?
Hili liwe funzo pia kwa wengine wapenda utajiri wa shortcut
Vipi nikikuambia kwamba Corona was nothing but psychological operation?Hazikuwa zimethibitishwa na kuleta matokeo chanya.
Kama unajua tofauti sema hapa, naamini hujuiSio kila kitu utafuniwe.
Ingia hata google .