AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
Ndio maana toka awali nikasema, sisi wapiga kura tunahitaji sera nzuri za kimaendeleo zitakazoleta ustawi bora kwa mwananchi na nchi kwa ujumla. Na wala sio hayo malumbano.Kama chama cha upinzani A kukitoa chama tawala madarakani chama hicho cha upinzani A kinahitaji wafuasi wengi wa kukipigia kura, na kinaweza kupata wafuasi hao kutoka chama kingine cha upinzani B, then it makes sense chama A cha upinzani kukipinga chama B cha upinzani na kuvutia wafuasi kutoka upinzani (chama B).
Huelewi wapi?
Malumbano ni sehemu ya haki ya kujieleza ya wananchi na wanasiasa.Ndio maana toka awali nikasema, sisi wapiga kura tunahitaji sera nzuri za kimaendeleo zitakazoleta ustawi bora kwa mwananchi na nchi kwa ujumla. Na wala sio hayo malumbano.
Kwani yanajitambua basi, wao wanajiendea tu hata wanako kwenda hawakujui.Huyu mama azungumzie agenda za chama chake, ajitahidi kuachana kusemea au kujibu agenda za Chadema.
Vv
Wakuu
Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
View attachment 3340898
Sio lazima iwe sahihi.Alichosema ni sahihi?
Chaubwabwa kwa hoja wanazokuja nazo kwa kuAttack Chadema hawatafikia mbali, Chadema haiko madarakani kusema kwamba wamekuja na hoja na sera mbadala za kufanya mapinduzi.Malumbano ni sehemu ya haki ya kujieleza ya wananchi na wanasiasa.
Kama unataka sera na huzioni unaona malumbano, waadhibu wanaoleta malumbano unayoona hayana tija kwenye kibox cha kura.
By the way vyama vyote vya siasa Tanzania vinafanya malumbano.
Wote wanafanya malumbano, CCM, CHADEMA, CHAUMMA, etc.
Sasa kwa nini uwa single out CHAUMMA kwenye hili?
Inaonekana post #40 ama hujaielewa, ama una mahaba sana na CHADEMA imekufanya kipofu usiyeona.Chaubwabwa kwa hoja wanazokuja nazo kwa kuAttack Chadema hawatafikia mbali, Chadema haiko madarakani kusema kwamba wamekuja na hoja na sera mbadala za kufanya mapinduzi.
Kwa hiyo ushindani wa CHAUMA ni dhidi ya CHADEMA na siyo CCM?Mimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Na huyu anayewatetea ni pandikizi au hajitambuiNi ajabu Chama pinzani kukishambulia chama kingine pinzani! Lengo la chama chochote ni kuchukua madaraka ya kuomgoza nchi hivyo vita zote huelekezwa kwa aliye madarakani. Ukiona mpinzani anamshambulia mpinzani mwenzie anayeikosoa serikali basi jua huyo mpinzani ni pandikizi
Wanatumia haki yao lakini sura zimewaporomoka wamekua wazee ghafla shida ni nini😃😃😃😃Wakuu
Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.
Na mapungufu yao waliyoyaona nchini ni CHADEMA siyo CCM? G55 mna shidaHakuna sera ya maendeleo isiyojadili mapungufu.
Maendeleo maana yake ni kuangalia mapungufu na kuyaondoa.
Kwa nini ubataka kuwapangia mapungufu wayaone wapi?Na mapungufu yao waliyoyaona nchini ni CHADEMA siyo CCM? G55 mna shida
Inawezekana kutetea hoja ya wapinzani kuwa na haki ya kupingana na wapinzani wenzao bila kuitetea CHAUMMA, kuwa pandikizi wala kuwa mtu asiyejitambua.Na huyu anayewatetea ni pandikizi au hajitambui
Kwa chama cha siasa makini lazima waone mapungufu kwa chama kilicho madarakani ambacho kina impact ya maisha ya wananchi directly.Kwa nini ubataka kuwapangia mapungufu wayaone wapi?
Kwahiyo Chadema ndiyo ina hayo mapungufu ya maendeleo ya kuangaliwa na siyo ccm iliyoshika madaraka ?Hakuna sera ya maendeleo isiyojadili mapungufu.
Maendeleo maana yake ni kuangalia mapungufu na kuyaondoa.
Huwezi kanusha kweli inayoonekana kuwa kweli, kwa hali ya kisiasa nchini haikanushiki Kuna taharuki kubwa kwa watawala dhidi ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA na kiongozi wake.Inawezekana kutetea hoja ya wapinzani kuwa na haki ya kupingana na wapinzani wenzao bila kuitetea CHAUMMA, kuwa pandikizi wala kuwa mtu asiyejitambua.
Hii ni hoja dhahanifu tu.
Mtu anaweza kutetea hoja hii hata in the abstract tu.
Tatizo watu wengi hapa hawawezi kufanya abstract thought, na siasa zetu ni za kuangalia watu na makundi, si za kuangakia hoja.
Huyo ni magdalena sakaya ajaeWakuu
Baada ya kukimbia CHADEMA na kwenda kupewa Ukaimu Makamu mwenyekiti wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA Devota Minja amesisitiza chama hicho kushiriki uchaguzi akisema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi pengine pawepo na vita.