Hili nalo ni jambo la kujisifu hadharani?Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake 😂 na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.
Amesema la maanaYaani yote ya haya bado unakazia dada yangu[emoji848][emoji848][emoji848]
Daah noma san 😂Achana na hiyo
Mwenzio nlituma money kwa mshua akaninunulia akaandika na jina lake kama mmikiki
Nlitak kusema huyu mshua aje!!!?
Ila juzi nmemuomba na nida yake nataka
Maji na umeme vipite hukohuko
Kifupi sina kitu[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwan kuna ulazima wakushirikiana? Au kuna ubaya gan kukataa? Mali natafuta kwa jasho langu halaf nikiandikia ndug zng uumie si utakua uchawi uwoHili nalo ni jambo la kujisifu hadharani?
Ulimuoa wa nini sasa kama mambo yenyew ndio hayo
We ndo akili hamna.Ishu ya kushare na mke siitaki hata kidogo kuna kiwanja changu nishakianza foundation naona wife anajitiatia kwamba anichukulie mkopo bank tunyanyue yote nimemwabia ukweli kwamb sitaki hata 100 yake [emoji23] na nyumba yangu nikimaliza namuandikia mdogo wangu.
Hili nalo ni jambo la kujisifu hadharani?
Ulimuoa wa nini sasa kama mambo yenyew ndio hayo
Bado uko beyond..! OA mwanamke anayekupenda il akuheshmu na kukujal...!!Mwanaume unaoa mwanamke ili akusaidie kulea familia? Lazima una udumavu wa akili. Oa mke umpendaye ili muishi kwa mapenzi na amani. Siyo ili aje akusaidie au achangie kujenga nyumba.
Sasa kama walinunua wakiwa kwenye ndoa kwann asiombe 50 50?Use brain Heriel,
Mkuu hati ya nyumba iko kwenye majina ya huyu mwanamke ilimlazimu baada ya kununua kiwanja aibadili aiweke kwenye majina yake ila apate mkopo mwingine wa kufanya finishing jamaa yangu hakusutuka kabisa, sasa hivi ndio ameanza kuona makosa when its too late
Karma is a bitch.
Ninammama namfahamu nae alifanya hivyohivyo Sasa hivi yupo kwenye late of 45's kakongoroka na Sukari, maisha ni ubatili tujifunze kutenda na kuacha alama ya wema haigharimu
Sw mkuuWe ndo akili hamna.
Shida wanaume wengi siku hizi hawajiamini na wanaona wanawake wapo hapo kwa ajili ya hela zao af unakuta wengine hata hizo hela hawana sasa.Umesoma kisa hapo juu? Umekielewa?
Kama ndio basi huwezi kutoa lawama kwa maamuzi haya!
Dada yangu mambo yameshabadilika
Na huko tumakoenda ndoa zitapungua kama sio kuisha kabisa kabisa
Sasa unaowa ili iwaje?
Maisha ni tough sister
Pesa imekua ngumu sana sana
Hivyo bila ya AKILI hutoboi
Wakati huo Kumbuka unakimbizana na muda usikutupe mkono
Wewe kama mpenzi wangu unaona hustle zangu suppport yako ni muhimu ikiwa utapenda
Ikiwa hupend Siwez kukulazimisha ufanye
Ila kwa sasa hata mimi sitaki hata 100 ya woman kwenye mapambano yangu sababu hata kama hatutaachana bado kuna dhalau zipo ikiwa mtafanya kila kitu pamoja
[mention]Extrovert [/mention] amenipa kauli moja madhubuti hapo juu kua ufukara unazaa uchoyo
Mentality ya fedha kwenye vichwa vya wadada wakibongo ni mbaya mbaya mbaya
Ndio maana hata wewe huwez kua na mimi hadi ujue kwanza status yangu ki maendeleo (umiliki) ila pengine hata family status yangu ikawa mwishoni kwako (sio muhimu)
Mali ni nini juu ya familia yako (mkeo)?Kwan kuna ulazima wakushirikiana? Au kuna ubaya gan kukataa? Mali natafuta kwa jasho langu halaf nikiandikia ndug zng uumie si utakua uchawi uwo
Hayo ni mawàzo yako.Sasa utaoa mke anayekupenda tu wakati weye huna habari naye?Unaposoma mistari hata kama ipo kwenye vitabu vya dini jaribu kuomba hekima ya kupata uwanda mpana wa tafsiri inayotekelezeka maishani.Bado uko beyond..! OA mwanamke anayekupenda il akuheshmu na kukujal...!!
Mwanamke unayempenda atakusumbua kama akiwa kimasirai
Kuna wanaume wengine wanataka wapendwe na wafanyiwe mambo yote kama walemavu.Huwa wanaoa hadi wake wengi na kuwafanya mtaji wakati wao wanazurula na kustarehe tu.Kuna wanaume ni wajinga sana duniani!!!
Hili sasa ni Povu kwa Wanaume wenye wake wengi, au siyo!!??Kuna wanaume wengine wanataka wapendwe na wafanyiwe mambo yote kama walemavu.Huwa wanaoa hadi wake wengi na kuwafanya mtaji wakati wao wanazurula na kustarehe tu.