Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

Kuna wanaume wengine wanataka wapendwe na wafanyiwe mambo yote kama walemavu.Huwa wanaoa hadi wake wengi na kuwafanya mtaji wakati wao wanazurula na kustarehe tu.
Siku zote mwanaume ni kichwa cha familia ndo thinking tank ya hiyo familia ili waendelee kuishi, kwahoyo wewe wataka thinking tank iwoshe vyombo vya chakula ipige ndeki hapana sio.
 
Siku zote mwanaume ni kichwa cha familia ndo thinking tank ya hiyo familia ili waendelee kuishi, kwahoyo wewe wataka thinking tank iwoshe vyombo vya chakula ipige ndeki hapana sio.
Upo mbali kabisa na hoja.Tulia na urudie kusoma ili uelewe.
 
Hili sasa ni Povu kwa Wanaume wenye wake wengi, au siyo!!??
Soma vizuri uelewe.Tatizo siyo kuoa wake wengi.Hata wangekuwa mia,poa sana.Hoja ni kwamba,kuna wanaume huwafanya kuwa vitega uchumi kwa kuwapa kazi ngumu(k.m mashamba walime kwa gharama za wanawake)halafu waume hujichukulia mazao au hata fedha zitokanazo na mavuno kwa nguvu.
 
Ngosha nakuaminia,huwezi kufeli kizembe,huyo mwanamke mwache akuze wanao tu,wakifika umri fulani unamgonga ndago moja heavy akafie mbele,hawezi kuchza na jasho la Ngosha hivihivi wakati tunguli za Babu zipo tu
 
Mbona unalia lia sasa?
 
Kama yeye ndo anatoa tu helaa bhasi hela ya mwanamke ni chunguu sanaa yani jehanamu ndogooo... ila hakuna mwanamke atakudharau kama unatoa matumizi ,unalipa kodi kama mmpanga.
Hela ya mwanamke ni tam bhana, ya mkeo huenda ndo chungu Sir Rick
 
Huna watoto? Utaandikaje mdogo wako Kama una watoto mjinga wewe? Nina mifano kibao baba wadogo au wakubwa wanadhulumu mali za watoto baba yao akifa
 
Oa wewe ,maisha kila mtu ana yake.
 
Kwan kuna ulazima wakushirikiana? Au kuna ubaya gan kukataa? Mali natafuta kwa jasho langu halaf nikiandikia ndug zng uumie si utakua uchawi uwo
Hao ndugu zako hawawezi kujitafutia? Sijuagi kuna nini hapa kati mwanaume anaona ni bora amuandike hata mzazi wake ila mke na watoto watajijua sijuagi mna sababu gani.
 
Nachukua notes[emoji3578]
 
Unamuandika mdogo wako?!..bora hata umwandike mwanao..au umwandike kabisa huyo mkeo hata ukifa watoto itawahusu ila kumwandika mdogo wako wanao hawatapata chochote kwenye hiyo nyumba..tafakari upya!
 
Hatari sana,baadhi ya wanawake wakishika usukani utaona tuu vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…